Ferouz shaury

Ferouz shaury God is good

30/04/2025

“Every successful person has a painful story, Every painful story has a good ending.accept the pain and get ready for success.”

13/04/2025

Ukimpa nyani option ya kuchagua kitu kimoja kati ya ndizi tatu na shilingi milioni moja. Nyani atachagua ndizi tatu kwa sababu hajui Kua one milioni itanunua ndizi nyingi zaidi.

PENDA SANA KUJIFUNZA

13/04/2025

“48 laws of power”, kiliachoandikwa na Robert Greene pamoja na “who will cry when you die” kilichoandikwa na Robin Sharma . Ni Vitabu ambavyo vimenifundisha Sana nini maana ya maisha. Nimesoma vitabu vingi Sana vya waandishi mbalimbali duniani na naendelea kusoma Ila hivyo ni fantastic

“Kua makini, Kuna watu wanajua thamani yako  pale tu wanapohitaji msaada wako, thamani yako inaisha pale tu ukishafaniki...
13/04/2025

“Kua makini, Kuna watu wanajua thamani yako pale tu wanapohitaji msaada wako, thamani yako inaisha pale tu ukishafanikisha malengo yao”

\"Be careful, there are people who know your value only when they need your help, your value ends only when you achieve their goals.\"

13/04/2025
one of the principles of success is to respect what you do no matter how others perceive it”//”Kanuni mojawapo ya kufani...
20/01/2025

one of the principles of success is to respect what you do no matter how others perceive it”
//
”Kanuni mojawapo ya kufanikiwa ni kuheshimu kile unachokifanya haijalishi wengne wanakichukuliaje”

,

“many will criticize you if you fail, only a few will congratulate you if you succeed, live your life” //“wengi watakuko...
28/09/2024

“many will criticize you if you fail, only a few will congratulate you if you succeed, live your life”

//
“wengi watakukosoa ukishindwa ni wachache tu watakupongeza ukifanikiwa. Ishi maisha yako”

“never say I can't say I will learn and I will do remember no one is born with knowledge all have learned and tried and ...
27/09/2024

“never say I can't say I will learn and I will do remember no one is born with knowledge all have learned and tried and succeeded”


//
“kamwe usiseme siwezi sema nitajifunza na nitafanya kumbuka hakuna aliyezaliwa na ujuzi wote wamejifunza wakajalibu na wakafanikiwa”

“stupidity is only when you go, never accept being stupid when you come back” //“ujinga ni wakati wa kwenda tu kamwe usi...
21/09/2024

“stupidity is only when you go, never accept being stupid when you come back”

//
“ujinga ni wakati wa kwenda tu kamwe usikubali kuwa mjinga wakati wa kurudi”

Address

Mpalalu
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ferouz shaury posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ferouz shaury:

Shortcuts

Share