Ustadh Uthman Bin Ayoo.

Ustadh Uthman Bin Ayoo. Mlezi kamili wa Kiswahili.

Kufaulu si kupita mtihani unaofanywa siku moja au mbili shuleni, si kusomea taaluma kisha urudi kitini ukakae, si kuwa n...
23/11/2021

Kufaulu si kupita mtihani unaofanywa siku moja au mbili shuleni, si kusomea taaluma kisha urudi kitini ukakae, si kuwa na pesa nyingi wala si kumiliki mali nyingi hapa duniani bali ni kuutafuta ulipo ubora wako kisha kuifanyia kazi mpaka ukapata unachohitaji katika maisha yako kabla hujaiaga dunia. Kwa hiyo wewe dada yangu, wewe ndugu yangu, jaribu sana kujiweka katika mkutano kila wakati kisha ujisikize na bila shaka utapata uliyezaliwa kuwa. Huenda;
Haukuumbwa kuwa mwalimu, dereva, daktari, mkulima, Imam, mwadhini, mzegazegaa,tarishi, kiongozi wa shule au kampuni, kandawala, mwanahabari, mhariri au hata rubani lakini ukajipata katika taaluma moja au nyingine.
Moyo wako hauna amani hata chembe; unajidanganya tu kwa kujikaza. Tafuta taaluma yako kisha ifanyie kazi utayaona matokeo yake.
Wassalam!

Address

TWALA
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ustadh Uthman Bin Ayoo. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ustadh Uthman Bin Ayoo.:

Shortcuts

Share

Category