16/12/2017
Chuo cha Uwalimu cha nyamwezi kilichopo mkoani Tabora kinayo furaha kuwatangazia kuwa muhura wa masomo mwaka 2018 utaanza tarehe 08 / 01 / 2018 mwezi wa kwanza.
Nafasi za masomo zinapatika.
Wahi mapema kwa ajili ya kupata Elimu iliyo bora.
Kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hii
075339604