02/04/2026
Mkuu wa Chuo Tabora Polytechnic Campus ya Tuli Dr Leslie G. Muhina.
Akizungumzia ubora wa taasisi ya Chuo cha Tabora Polytechnic chenye hadhi na heshima kubwa, inayojivunia kutoa elimu bora na wataalamu wa kiwango cha juu katika sekta mbalimbali. Tumeshuhudia maendeleo makubwa katika Nyanja ya Elimu, tafiti, huduma kwa jamii na uhusiano wa kimataifa.
Tunaendelea kutoa program za kitaaluma zinazozingatia mahitaji ya soko la ajira ambazo ni;
1: Clinical Medicine (UTABIBU) Ada 1,800,000 kwa mwaka
2: Pharmaceutical sciences (FAMASIA) Ada 1,600,000 kwa mwaka
3: Medical Laboratory (MAABARA) Ada 1,600,000 kwa mwaka
4: Nursing and Midwifery (UUGUZI NA UKUNGA) Ada 1,800,000 kwa mwaka
5: Clinical Nutrition Ada 1,600,000 kwa mwaka
6: Agriculture Production Ada 1,000,000 kwa mwaka
7: Information Technology (TEHAMA) Ada 800,000 kwa mwaka
8: Records Managements (UTUNZAJI WA KUMBUKUMBUKU) Ada 800,000 kwa mwaka
9: Secretarial Studies (UHAZILI) Ada 800,000 kwa mwaka
10: Tour Guide Operations (UTALII) Ada 800,000 kwa mwaka
11: Community Development (MAENDELEO YA JAMII) Ada 800,000 kwa mwaka
12: Early childhood Education (UALIMU ELIMU YA AWALI) Ada 800,000 kwa mwaka
13: Primary education (UALIMU ELIMU YA MSINGI) Ada 800,000 kwa mwaka
14: Journalism Radio and TV Broadcasting (UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI) Ada 800,000 kwa mwaka
15: Education Management and Administration (UONGOZI NA UTAWALA KATIKA ELIMU) Ada 800,000 kwa mwaka
Baadhi ya kozi hizi zina mkopo wa serikali, kwa ushauri zaidi kuhusu kozi za mikopo tupigie simu
0766 88 88 22 / 0754 366 331
0782 366 331 / 0749 211 311
AU
Unaweza kutuma maombi mapema kupitia tovuti yetu;
www.taborapolytechnic.ac.tz
Karibu sana Tabora Polytechnic College