St. Maximilliancolbe Health College - Tabora

St. Maximilliancolbe Health College - Tabora

Share

We are a Private health college located in Tabora Municipal, Ipuli Street near Majengo Primary School.

We offer Clinical medicine and Pharmaceutical courses in the levels of Certificate & Diploma

23/07/2020

CHUO CHA SAYANSI YA AFYA CHA ST. MAXIMILLIANCOLBE HEALTH COLLEGE KILICHOPO MANISIPAA YA TABORA KINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA KWA AJILI YA KOZI ZA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA FAMASIA (PHAMACEUTICAL SCIENCES) NA CLINICAL MEDICINE (UDAKTARI) KATIKA NGAZI YA CHETI YAANI CERTIFICATE NA NGAZI YA DIPLOMA.
MUOMBAJI WA KOZI YA FAMASIA ANATAKIWA KUWA NA UFAULU KATIKA MASOMO MANNE KWA KIWANGO CHA WALAU ALAMA ā€œDā€ (YAANI AWE NA D NNE) ZINAZOJUMUISHA CHEMISTRY NA BIOLOGY NA KOZI YA CLINICAL MEDICINE (UDAKTARI) MUOMBAJI AWE NA UFAULU WA ANGALAU ALAMA NNE ZA ā€œDā€ ZIKIJUMUISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY NA BIOLOGY.
ST. MAXIMILLIANCOLBE HEALTH COLLEGE NI CHUO PEKEE KITAKACHOKUWEZESHA KUFAULU KOZI HIZI KWANI KIKO KATIKA MAZINGIRA BORA ZAIDI YA KUJISOMEA, KINA WALIMU WALIOBOBEA KATIKA UFUNDISHAJI, KINA MAABARA ZA KISASA NA HOSPITALI ZA KUFANYA MAZOEZI, ADA NI NAFUU SAANA NA INALIPWA KWA AWAMU.
CHUO KIPO MANISPAA YA TABORA. TABORA MJINI
FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021 ZINAPATIKANA CHUONI ST. MAXIMILLIANCOLBE HEALTH COLLEGE......
KWA MAULIZO ZAIDI NA JINSI YA KUPATA NAFASI KARIBU KATIKA GROUP LETU LA WHATSAPP bofya hapa kujiunga na group...... https://chat.whatsapp.com/JWgHrpGzMGM7trSjsxiVPa

08/07/2020

Kozi ya utabibu (clinical medicine) inajishughulisha na kupima na kutibu wagonjwa, kupanga na kutafsiri majaribio ya kitabibu na kufanya taratibu za kitabibu na za kiupasuaji.

Photos 30/06/2020

Habari! Karibu Chuo cha afya St. Maximiliancolbe - Tabora. Hivi sasa tunakaribisha Maombi ya kujiunga kwa muhula wa masomo wa mwezi September kwa kozi za Clinical Medicine na Pharmacy Katika ngazi ya Diploma na Certificate. Nyote mnakaribishwa. Wasiliana nasi kufanya usajili SASA! Tafadhali Bofya link kujiunga na group la maulizo upate taarifa na jinsi ya kujiunga.
https://chat.whatsapp.com/JWgHrpGzMGM7trSjsxiVPa

30/06/2020

Habari! Karibu Chuo cha afya St. Maximiliancolbe - Tabora. Hivi sasa tunakaribisha Maombi ya kujiunga kwa muhula wa masomo wa mwezi September kwa kozi za Clinical Medicine na Pharmacy Katika ngazi ya Diploma na Certificate. Nyote mnakaribishwa. Wasiliana nasi kufanya usajili SASA! Tafadhali Bofya link kujiunga na group la maulizo upate taarifa na jinsi ya kujiunga.
https://chat.whatsapp.com/JWgHrpGzMGM7trSjsxiVPa

30/06/2020

Habari! Karibu Chuo cha afya St. Maximiliancolbe - Tabora. Hivi sasa tunakaribisha Maombi ya kujiunga kwa muhula wa masomo wa mwezi September kwa kozi za Clinical Medicine na Pharmacy Katika ngazi ya Diploma na Certificate. Nyote mnakaribishwa.

21/04/2020

Watoto wanasikia taarifa mbalimbali kuhusu Corona hivyo kukaa kimya na kuwaficha hakusaidii, waelezee mambo muhimu ya ugonjwa huu kulingana na umri walionao.

19/04/2020

MATUMIZI SAHIHI YA BARAKOA
*Hakikisha barakoa yako inapitisha hewa kiasi cha kutosha.
*Vaa Barakoa yako muda wote ukiwa Umetoka nje ya makazi yako
*Nawa mikono yako vizuri na sabuni au tumia Sanitaiza kila
unapovaa au kuvua Barakoa yako
*Tumia 'Vishika maskio' vyake pale unapohitaji kuvua au kuvaa
barakoa yako.
*Safisha barakoa yako vizuri kila baada ya kuitumia.
*Endelea kuhakikisha unakaa mita Mbili au zaidi kati yako na mtu
mwingine.
*Usivae Barakoa ya mtu na pia usiazimishe barakoa yako.
*Usiguse upande wa mbele wa wa Barakoa yako
*Usiwavalishe barakoa watoto chini ya miaka miwili
*Usivae Barakoa iliyolowana au yenye unyevu.

18/04/2020

Kwa madaktari wote, kipindi hiki cha covid19 ni lazima kuhakikisha yafuatayo yanafanyika.

1. Kila mgonjwa na ndugu wa mgonjwa awe amevaa mask anapongia hospitali na chumba cha daktari, anawe mikono au sanitizer anapoingia na kutoka chumba cha daktari.

2. Daktari na mgonjwa wawe umbali wa mita 2 katika chumba cha kumuona daktari.

3. Kila anayefika kumuona daktari lazima ahojiwe dalili zote za covid19 na historia ya kusafiri nje ya nchi au maeneo hatarishi ndani ya nchi(checklist) kabla ya kuelezea shida yake.

4. Madaktari wote wavae mask na scrubs muda wote wakiwa hospitali, scrub na viatu vya hospitali vibaki hospitali wakati wa kurudi nyumbani.

5. Kupunguza msongamano wa wagonjwa mahospitalini elective procedures zipewe muda mrefu wa kusubiri na kujikita zaidi kwenye dharura, wagonjwa wa kurefill dawa wapewe dawa za kua nazo nyumbani kwa muda mrefu.

6. Maamuzi makini yafanyike kwa wagonjwa wanaohitaji kutumia mashine za chumba cha upasuaji hasa kwa mgonjwa mwenye dalili za covid19.

7. Surface zote za hospitali k**a meza, vitasa vya milango, vitufe vya lift, sakafu n.k vifanyiwe sanitization na kusafishwa mara nyingi kila siku.

Daktari ni askari namba moja wa covid19, akiambukizwa daktari ni kupoteza askari vitani, usisubiri PPE au hali kua mbaya, chukua hatua binafsi kua kioo kwa jamii.

17/04/2020

Fanya yafuatayo kujikinga na kuikinga familia yako dhidi ya ugonjwa wa Corona
*Nawa mikono yako na sabuni kila mara
*Tumia Hand Sanitaiza kusafisha mikono yako
*Jiepushe na mikusanyiko ya watu kaa umbali wa mita 2
*Vaa Barakoa (mask) ya uso
*Kaa majumbani na epuka safari zisizo za lazima
*Epuka kugusa uso wako

11/04/2020

Vaa Mask- LENGO ni kufunika PUA na MDOMO ili 1)Kujikinga Virusi vya COVID19 visiingie ndani yako endapo mtu aliye karibu yako atapiga chafya AU matone madogo ya mate kumtoka na kukurukia usoni wakati anazungumza. 2) Kuwakinga wengine endapo utakohoa au kupiga chafya

Want your school to be the top-listed School/college in Tabora?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Ipuli
Tabora