Chriffa secondary School _Uyui_ tabora

Chriffa secondary School _Uyui_ tabora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chriffa secondary School _Uyui_ tabora, School, P. o. box, 633 uyui_ tabora, Tabora.

27/11/2022

KARIBU CHRIFFA SEKONDARI.
Hapo ni makumbusho ya Dr.living stone tabora pale tulipoenda kujifunza kwa vitendo zaidi.

Do what is best the issue of rewards will become automatic.Thanks God for thisGive me more blessings ๐Ÿ“
25/11/2022

Do what is best the issue of rewards will become automatic.
Thanks God for this
Give me more blessings ๐Ÿ“

Ewe ndugu ,jamaa,rafiki,mzazi pamoja na mlezi wa mwanafunziShule yetu inapenda kukutangazia kuwa kuanzia January kutakuw...
20/11/2022

Ewe ndugu ,jamaa,rafiki,mzazi pamoja na mlezi wa mwanafunzi
Shule yetu inapenda kukutangazia kuwa kuanzia January kutakuwa na punguzo la ada kwa wale wote watakao waleta watoto wao au kumshauri mzazi wa mwanafunzi kumleta mwanae

Mlete mwanao Chriffa sekondari apate kilicho Bora!
Usikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia ! Shule za kayumba siyo dili utauziwa mbuzi kwenye gunia mwanao akihitimu form four
Mawasiliano 0623781764

Mambo ya Qatar team ya Argentina pamoja na Uruguay wameamua kula nyama kwa pamoja hii Leo huko nchini Qatar ili kupeana ...
20/11/2022

Mambo ya Qatar team ya Argentina pamoja na Uruguay wameamua kula nyama kwa pamoja hii Leo huko nchini Qatar ili kupeana hamasa ya kushinda kombe la dunia 2022.

Haya ndio madhara ya kumpeleka mtoto shule za kayumba Mzazi mlete mwanao Chriffa sekondari apate elimu Bora๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
17/11/2022

Haya ndio madhara ya kumpeleka mtoto shule za kayumba
Mzazi mlete mwanao Chriffa sekondari apate elimu Bora๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

  Welcome our customers ๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
14/11/2022


Welcome our customers ๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Uongozi wa shule ya sekondari CHRIFFA unapenda kuwatakia mitihani mwema wa taifa unaoenda kuanza kesho.Tarehe 14/07/2022...
13/11/2022

Uongozi wa shule ya sekondari CHRIFFA unapenda kuwatakia mitihani mwema wa taifa unaoenda kuanza kesho.
Tarehe 14/07/2022
Mungu akawatangulie

Kumbukizi ya kuagana kidato Cha pili walivomaliza mtihani wao wa taifa 2022. Karibuni tena kusoma pre_ form threeKUMBUKA...
13/11/2022

Kumbukizi ya kuagana kidato Cha pili walivomaliza mtihani wao wa taifa 2022.
Karibuni tena kusoma pre_ form three
KUMBUKA ELIMU haina mwisho! Soma wakati wote๐Ÿ”จ

Address

P. O. Box, 633 Uyui_ Tabora
Tabora
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chriffa secondary School _Uyui_ tabora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category