Mbalizi Institute of Health Sciences

Mbalizi Institute of Health Sciences Mbalizi Institute is the faith-based institute located in Mbeya region. It offer Diploma in Clinical

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEIMOSI.
30/04/2026

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEIMOSI.

30/04/2026

Taasisi ya sayansi za Afya mbalizi inakutangazia Nafasi za masomo kwa kozi za..

# Clinical Medicine
# Nursing & Midwifery
# Medical Laboratory Science
# Diagnostic Radiography
# Social Work
Ada zetu ni nafuu sana zinalipwa kwa Awamu.
Hostel zipo kwa wanafunzi wa jinsia zote

29/04/2026

Wanafunzi wa Taasisi ya sayansi za Afya Mbalizi yanufaika na mafunzo ya kujithamini na kujitunza kwenye maisha ya ujana.

23/04/2026

Karibu Chuoni Afya Mbalizi!
Tunawakaribisha wote wenye ndoto ya kusomea taaluma za afya kutuma maombi ya kujiunga na chuo chetu. Jiunge nasi ujenge mustakabali wako na uchangie kuboresha afya ya jamii.

ZITOLEWAZO
1. CLINICAL MEDICINE
2. NURSING & MIDWIFERY
3. RADIOLOGY
4. MEDICAL LABORATORY
5. SOCIAL WORK
✓Hostel zipo kwa wanafunzi wa jinsia zote.
✓Ada zetu ni Nafuu sana na zinalipwa kwa awamu Tano.
🩺WOTE MNAKARIBISHWA🩺

WANAFUNZI WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI WANAFAIKA NA ELIMU YA KODI TOKA TRA
17/04/2026

WANAFUNZI WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI WANAFAIKA NA ELIMU YA KODI TOKA TRA

Mkuu  wa Taasisi ya sayansi za Afya Anakutakia Her ya kumbukumbu ya Shujaa wa Mapinduzi
06/04/2026

Mkuu wa Taasisi ya sayansi za Afya Anakutakia Her ya kumbukumbu ya Shujaa wa Mapinduzi

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAWATAKIA HERI YA SIKUKUU ZA PASAKA.
04/04/2026

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAWATAKIA HERI YA SIKUKUU ZA PASAKA.

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAUNGANA NA JAMII KUWATAKIA IJUMAA KUU.
02/04/2026

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAUNGANA NA JAMII KUWATAKIA IJUMAA KUU.

31/03/2026

MKUU WA TAASISI YA SAYANSI ZA AFYA MBALIZI ANAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA KOZI ZA
1. CLINICAL MEDICINE
2. NURSING & MIDWIFERY
3. RADIOLOGY
4. MEDICAL LABORATORY
5. SOCIAL WORK
6. PHARMACY_SUNRISE CAMPUS
kipo mbeya Mbalizi, Hostel zipo kwa wanafunzi wa jinsia zote, Ada zetu ni Nafuu sana na zinalupwa kwa Awamu Tano. 🇹🇿Wote mnakaribishwa🤝

Chuo cha Afya mbalizi kinawatangazia nafasi za kuhamia kwa mwaka wa masomo 2025/2026, Pia kinaendelea kupokea maombi ya ...
30/03/2026

Chuo cha Afya mbalizi kinawatangazia nafasi za kuhamia kwa mwaka wa masomo 2025/2026, Pia kinaendelea kupokea maombi ya Udahili wa mwaka wa masomo 2026/2027, ndugu, jamaa na rafiki unakaribishwa kujiunga na nafasi mbali mbali za Masomo, Mlete mwanao Apate elimu bora Mbalizi.

Mpambanaji hachoki📚akichoka ujue amepata💯 Karibu Mbalizi institute 💯Upate Elimu bora na Yenye Tija💯🩻📚
27/03/2026

Mpambanaji hachoki📚akichoka ujue amepata💯 Karibu Mbalizi institute 💯Upate Elimu bora na Yenye Tija💯🩻📚

Address

Songwe
Songwe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbalizi Institute of Health Sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mbalizi Institute of Health Sciences:

Shortcuts

Share