29/01/2023
Haya matokeo tayari yameshatoka usiumize kichwa juu ya mwanao wapi umpeleke
Wasiliana na uongoz wa st. Thomas - ili mwanao aweze kupata elimu bora
Wana coz nyingi nzuri ambazo ni rahis hata kwa upatikanaji wa ajira
K**a vile
1.Community development
2.Social work
3.Agriculture
4.Information technology
5.Business administration
6.Records management na
7.Nursary teaching
Chuo kipo songea mjini mkoa wa ruvuma