St. Benedict-Tumaini Pre & Primary School, Songea

St. Benedict-Tumaini Pre & Primary School, Songea Kwa elimu bora mlete mwanao Shuleni kwetu, tunahuduma zote, Hospital, Maji safi, mazingira Bora na rafiki kwa mtoto na Walimu wenye uzoefu, Ubunifu wapo.

Mawasiliano zaidi piga simu 0759873125

Watoto hujifunza kwa vitendo KARIBUNI SANA shuleni kwetu
19/04/2024

Watoto hujifunza kwa vitendo KARIBUNI SANA shuleni kwetu

Hadi Dereva ofisi yake inazana za kujifunzia na kufundishaa.  Mlete mwanao Mwaka HUU 2024 apate stahiki zake
11/01/2024

Hadi Dereva ofisi yake inazana za kujifunzia na kufundishaa. Mlete mwanao Mwaka HUU 2024 apate stahiki zake

18/12/2022

Dancers ktk shule zetu za Masista wa St. Benedict

18/12/2022

KWAITO KWAITIKA NA St. Benedict Tumaini

11/09/2022
Kwa pamoja tunasema EDUCATION IS THE COMPETENCE AND DISCIPLINEShule yetu ipo SONGEA MANISPAA chini ya MASISTA wa St. Ben...
17/03/2022

Kwa pamoja tunasema EDUCATION IS THE COMPETENCE AND DISCIPLINE

Shule yetu ipo SONGEA MANISPAA chini ya MASISTA wa St. Benedict wa Chipole PERAMIHO Mlete mwanao kwan ada zetu ni nafuu

Karibuni nyote kwa elimu Bora yenye manufaa kwa hadhina ya kudumuWasiliana nasi sasa kwani nafasi ni chache
12/12/2021

Karibuni nyote kwa elimu Bora yenye manufaa kwa hadhina ya kudumu

Wasiliana nasi sasa kwani nafasi ni chache

Karibuni nyote Designed by TSb4
08/12/2021

Karibuni nyote

Designed by TSb4

2020
06/11/2021

2020

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2022Tunawatangazia Umma Kuwa Fomu za kujiunga na TUMAINI PRE AND PRIMARY kwa Madarasa ya Eli...
14/10/2021

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2022

Tunawatangazia Umma Kuwa Fomu za kujiunga na TUMAINI PRE AND PRIMARY kwa Madarasa ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi Darasa la Kwanza hadi la 3

Fomu zinapatikana Shuleni

Kwa maelezo piga Simu 0759873125

Na nyote Mnakaribishwa

Address

Changalawe
Songea

Telephone

+255759873125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Benedict-Tumaini Pre & Primary School, Songea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category