Songea Moravian Vtc

Songea Moravian Vtc chuo cha Ufundi Songea Moravian Vtc kimesajiliwa na mamlaka ya Ufundi VETA kwa namba REG:VET/RVM/FR/

06/02/2023

Karibuni Sana Nafasi Bado zipo

Chuo Cha Ufundi Songea Moravian Vtc kinapenda kuwajulisha kwamba bado kinaendelea kutoa fomu za kujiunga na mafunzo ya U...
18/10/2022

Chuo Cha Ufundi Songea Moravian Vtc kinapenda kuwajulisha kwamba bado kinaendelea kutoa fomu za kujiunga na mafunzo ya Ufundi stadi kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kozi zifuatazo:-

Kozi za muda mrefu(Miaka 2)
✓Umeme wa majumbani
✓Ufundi wa Magari
✓ Ushonaji wa Nguo
✓ Userrmala

Kozi za Muda mfupi:
✓ Udereva
✓ Computer
✓ Umeme wa majumbani
✓ Ufundi wa Magari
✓ Ushonaji wa Nguo
✓ Useremala

NB: KOZI ZA MUDA MFUPI ZINATOLEWA WAKATI WOWOTE ULE.

KARIBUNI SANA 🙏🙏

16/09/2022

Wanafunzi wa fani ya Ufundi wa Magari wakiwa katika mafunzo kwa vitendo

Tunafundisha kwa vitendo zaidi 💪KARIBU SANA SONGEA MORAVIAN VTC
07/04/2022

Tunafundisha kwa vitendo zaidi 💪

KARIBU SANA SONGEA MORAVIAN VTC

Uongozi wa Chuo Cha Ufundi Stadi Songea Moravian Vtc unawatakia waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani.
02/04/2022

Uongozi wa Chuo Cha Ufundi Stadi Songea Moravian Vtc unawatakia waislamu wote mfungo mwema wa Ramadhani.

Kazi kazi! Wanafunzi wa Faini ya Ufundi wa Magari wakiwa kazini
21/03/2022

Kazi kazi! Wanafunzi wa Faini ya Ufundi wa Magari wakiwa kazini

Discussion time 💪📚
19/03/2022

Discussion time 💪📚

Hongereni nyote!
18/03/2022

Hongereni nyote!

Nani kuibuka bingwa kwenye mashindano ya kimadarasa Leo Kati ya umeme mwaka wa kwanza na Magari mwaka wa kwanza? Katika ...
18/03/2022

Nani kuibuka bingwa kwenye mashindano ya kimadarasa Leo Kati ya umeme mwaka wa kwanza na Magari mwaka wa kwanza? Katika mchezo wa Leo unaowakutanisha umeme mwaka wa kwanza na Magari mwaka wa kwanza ndio utatoa bingwa wa mashindano katika mchezo huo umeme mwaka wa kwanza anahitaji sare tu Ili kuwa mahindi huku Magari mwaka wa kwanza wakihitaji ushindi katika mchezo huo ili kuwa mabingwa.

Songea Moravian Vtc tunatoa kozi ya Ushonaji wa Nguo, kozi hii hutolewa kwa muda mrefu (long course) na kwa muda mfupi (...
14/03/2022

Songea Moravian Vtc tunatoa kozi ya Ushonaji wa Nguo, kozi hii hutolewa kwa muda mrefu (long course) na kwa muda mfupi (Short course)

Nafasi za kujiunga na kozi hii ya ushonaji bado zinapatikana!

KARIBUNI SONGEA MORAVIAN VTC KWA MAFUNZO BORA YA UFUNDI.

Tangazo!
14/11/2021

Tangazo!

Address

Msamala
Songea

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255766609807

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Songea Moravian Vtc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Songea Moravian Vtc:

Share