The Green Mountain Academic Centre

The Green Mountain Academic Centre The Green Mountain Academic Centre is the institute that offers pre-form one course, English course

THE GREEN MOUNTAIN ACADEMIC CENTRE NI TAASISI YA ELIMU ILIYOPO MKOANI SINGIDA KATIKA KANISA LA PENTECOSTE KIBAONI TUNATOA MAFUNZO KWA VIJANA WANAOMALIZA ELIMU YA MSINGI/DARASA LA SABA ILI KUWAANDAA KUKABILIANA VYEMA NA MASOMO YA SEKONDARI PINDI WATAKAPOCHAGULIWA HIVYO TUNAFUNDISHA MASOMO YOTE YA SEKONDARI (PRE FORM ONE) PAMOJA NA KOZI YA KIINGEREZA(ENGLISH COURSE) KWA MUDA WA MIEZI MITATU TAR 16/09/2013 HADI 16/12/2013 MWAKA HUU NA KWA MIAKA MINGINE NI PALE WANAPOMALIZA ELIMU YA MSINGI.

28/08/2017

Tunaanza mafunzo kwa ajili ya pre form one na English course yatakayoanza mapema tar 11/09/2017 hapa shuleni The Green Mountain academic centre hapa Fpct Kibaoni singida

06/11/2016

The green mountain academic centre tutakuwa na semina ya wazazi wanaopenda watoto wao wafanye vizur kitaaluma na malez ya jinsi ya kumwandaa mwanao kuwa vizuri kitaaluma kutakuwa na semina waalimu wenye elimu ya saikolojia kwa ujumla kituo kinawakaribisha wazaz wa mkoa wa singda tujifunze pia wanafunz wa pre form one wataenda Ngorongoro mwanzoni mwa DEC 2016 karibuni sana

25/11/2015

we prepare intensive tuition program during holiday from form one up yo form six we aim to provide quality tuition service ever happen in SINGIDA municipal our centre found near STAND MPYA at the corner from dar es salaam or Mwanza our fee will be 5000 per subject which indeed our tuition will make our student confident in facing another class subject
YOU ARE WARMLY WELCOME
From Director general
Eng Frank J Athumani

13/10/2015

the green mountain kwa sasa tumeendelea kukua na tumekuwa na matawi matatu ambayo ni Kibaoni singida(main campus) puma primary branch both foynd in singida region and mamire primary at babati manyara we lead in provision of our service and we inted to build a school so we are looking for sponsor whp will enhance us to make a good infrastructure for school and i have written a proposal for this

30/09/2015

i like it

22/09/2015

tumeanza mafunzo ya pre form one na english course karibuni sana

natarajia kuwa na shule itakayotoa elimu bora sana
14/05/2014

natarajia kuwa na shule itakayotoa elimu bora sana

30/12/2013
30/12/2013

displine student at the green mountain academic centre

nakupenda mama
24/11/2013

nakupenda mama

Have you shared God's love today?

Address

0769630887
Singida
415KIBAONISINGIDA

Opening Hours

Monday 07:30 - 16:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Green Mountain Academic Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to The Green Mountain Academic Centre:

Shortcuts

Share

Category