Singida Teachers College

Singida Teachers College Singida Teacher's College established on July, 2008 is a private institution offering education diplomas in Primary Education and Special Education.

🙏🏼💔
05/06/2026

🙏🏼💔

“Your life was a blessing, your memory a treasure. Loved beyond words, missed beyond measure.”Desidery Francis Byerushen...
04/06/2026

“Your life was a blessing, your memory a treasure. Loved beyond words, missed beyond measure.”

Desidery Francis Byerushengo
13 May 1974 – 02 June 2026
Forever in our hearts. 🕊️💔

Haya walimu kuna Ambayo Imesahaulika hapo Tukutane kwenye comments hapoChini👇🏻Sisi ni
04/06/2026

Haya walimu kuna Ambayo
Imesahaulika hapo Tukutane kwenye comments hapo
Chini👇🏻
Sisi ni

02/06/2026

🎓 Unavifahamu viwango vya ufaulu vilivyowekwa na NECTA?

Mohammed Mbaga, Mkufunzi wa Chuo cha Ualimu Singida, anazungumzia kwa ufupi na kwa ufasaha kuhusu viwango vya ufaulu vinavyotumika Tanzania na umuhimu wake katika kupima maendeleo ya wanafunzi.

Elimu bora huanza kwa kuelewa vigezo vinavyotumika kupima mafanikio.

▶️ Tazama video hii ujifunze zaidi.

SingidaTeachersCollege

The winning Team💪We are 🙏🏼
30/05/2026

The winning Team💪
We are
🙏🏼

SINGIDA TTC  inawatakia heri Eid Al Adha Mubarak! Mwenyezi Mungu azijaze nyumba zenu amani, furaha na baraka tele.   sin...
26/05/2026

SINGIDA TTC inawatakia heri Eid Al Adha Mubarak! Mwenyezi Mungu azijaze nyumba zenu amani, furaha na baraka tele. singida ttc

14/05/2026

Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Singida wakiwa katika viunga vya chuo wakijiandaa na mitihani ya Taifa ya stashahada ya Ualimu msingi.

14/05/2026

Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha UALIMU Singida ambao ni watahiniwa wa mitihani ya Stashahada ya Ualimu Msingi wakiendelea kusoma na kujikumbusha katika counts vya chuo. Tunawapenda walimu



03/05/2026

Kesho ni hatua nyingine muhimu katika safari ya mafanikio yenu—siku ya kuonesha juhudi, nidhamu na maarifa mliyoyajenga kwa muda wote wa masomo.

Chuo cha Ualimu Singida (TTC) kinawatakia wanafunzi wote wanaoanza mitihani kesho kila la kheri na mafanikio makubwa. Mkaingie kwenye mitihani kwa kujiamini, utulivu na umakini mkubwa—amini katika uwezo wenu, maana mmeandaliwa na mmejiandaa vya kutosha.

Kumbukeni, mafanikio huanza na mtazamo chanya na maandalizi bora.
Mungu awasimamie na kuwaongoza katika kila hatua ya mitihani yenu.

12/01/2026

Address

Ginery
Singida

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255679446992

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Singida Teachers College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Singida Teachers College:

Shortcuts

Share

Category