Foundation For Tommorow

Foundation For Tommorow We concern about Orphan and Vulnerable Children to give Healthful and nutritional food, comfortable clothing and home that offers
protection and safety .

Victor Paschal Albert and  Jasmeen Mavura Princess are traveling to Zambia whereThe Secretariat of the African Committee...
15/06/2023

Victor Paschal Albert and Jasmeen Mavura Princess are traveling to Zambia whereThe Secretariat of the African Committee of Experts on the Rights and Welfare
of the Child of the African Union has the honor to inform that the Committee in
collaboration with the Government of Zambia and its partner organisations will be
organizing a hybrid symposium during the continental Day of the African Child (DAC)
commemoration on 16 June 2023 in Lusaka, Zambia.
The overall objective of the DAC 2023 is to raise awareness on the promotion
and protection of children’s rights in the digital environment and to encourage Member
States and other relevant stakeholders to make commitments towards the realization of children’s rights in the digital environment.

08/02/2023

Watoto wanahaki ya kujifunza bila ukatili wowote mashuleni!
Nidhamu ya kikatili ni aina ya ukatili dhidi ya watoto. Ni wakati wa kufikiria upya shule kuwa mahali ambapo watoto watafurahia kujifunza bila hofu!
Kwa kila mtoto, elimu bora📚

Leo ni siku ya maadhimisho ya watu wenye ulemavu. Tukiadhimisha siku hii tukumbuke yafuatayo"Duniani wanaishi watu wenye...
03/12/2022

Leo ni siku ya maadhimisho ya watu wenye ulemavu. Tukiadhimisha siku hii tukumbuke yafuatayo
"Duniani wanaishi watu wenye ulemavu wa aina fulani ambao hauonekani, ambapo wakati mwingine unaweza kuchukuliwa kuwa labda tabia zao na hata watu hao kukumbwa na unyanyapaa katika jamii. Mara nyingi ulemavu unaozingatiwa huwa ule unaonekana kwa mfano ulemavu wa miguu, mikono au macho ingawa nao bado wanakumbana na changamoto nyingi. "Tuwalinde, tuwajali, tuwasikilize na tusiwanyapae. Wana haki k**a binadamu wengine.

Victor Paschal
Tantau Paschal
Salome Kundya

15/10/2022

Mtoto Victor Paschal ameshiriki mkutano wa watoto wa Africa Regional Consultation on the Development of the Guidance Note on Child Rights Mainstreaming moja ya mjadala waliokuwa nao ni kuangalia kwa namna gani UN wanaweza kuwekeza na kuongeza nguvu katika kuhakikisha haki za watoto zinalindwa na kusimamiwa.
Victor ameweza kushauri kwa upande wa shirika la Afya Duniani WHO kuweza kusaidia watoto katika masuala ya kiafya kutokana na changamoto zinazojitokeza katika kupata huduma za afya,
Pia ameshauri UN kufanya mazungumzo na shirika la fedha Duniani IMF ili kutoa fedha zitakazo saidia watoto katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi.

Leo ni siku ya mtoto wa k**e duniani.Tunapoiadhimisha siku hii maalumu kwa mtoto wa k**e nina machache ya kusema. Tunapo...
11/10/2022

Leo ni siku ya mtoto wa k**e duniani.
Tunapoiadhimisha siku hii maalumu kwa mtoto wa k**e nina machache ya kusema. Tunapoiangalia kesho tunamuona mtoto wa k**e k**a mama ajaye lakini mama huyo hawezi kuwa bora k**a atapitia maumivu leo.
Kwangu mtoto wa k**e namuona k**a baadae ya wengi.(amebeba kesho ya wengi)
"Tumlinde, tumheshimu, tumsaidie kutimiza ndoto zake na tuwe sehemu ya yeye kupata haki zake hasa haki ya elimu, tuitengeneze kesho yake iliyobeba mafanikio" VictorPaschal

Happy international day of the girl child.

"Watoto hawawezi kuwa Viongozi wa kesho k**a hawatalindwa na kuheshimiwa.Kumlinda mtoto ni pamoja na kumpa mahitaji yote...
07/10/2022

"Watoto hawawezi kuwa Viongozi wa kesho k**a hawatalindwa na kuheshimiwa.
Kumlinda mtoto ni pamoja na kumpa mahitaji yote ya msingi.
Tunahitaji kulindwa na Tunahitaji kuheshimiwa pia." Victor Paschal

Katika maisha yangu ninaamini adhabu sio sehemu ya kumjenga mtoto. Naumia sana kuona mtoto mwenzangu anafanyiwa vitendo ...
07/10/2022

Katika maisha yangu ninaamini adhabu sio sehemu ya kumjenga mtoto. Naumia sana kuona mtoto mwenzangu anafanyiwa vitendo k**a hivi. Naomba wazazi wangu acheni tabia ya kuumiza watoto, mnatufanya tukose ujasiri, mnasababisha ndoto zetu zisitimie. Huyo mtoto mwenzangu ameshindwa kufanya hata mtihani kwasababu kaunguzwa moto.
Mzazi tafuta namna sahihi ya kumlea na kumjenga mtoto ili yasitokee haya tunayaona sasa.
"Wazazi tutengenezeni ili tuwe wazazi bora badae na ili tuwe viongozi bora wa kesho, msitutengeneze kwa maumivu bali kwa upendo".
Victor Paschal

Baada ya jana kuripotiwa kuuawa mwanafunzi wa darasa la saba, Farida Makuya wa Shule ya Msingi Mtumba, Dodoma mwanafunzi mwingine wa darasa hilo, Hellena Paulo wa Shule ya Msingi Shahende mkoani...

"Fanya mambo kwa ajili ya watu, si kwa sababu ya wao ni kinanani au wanafanya nini k**a malipo, lakini kwa sababu ya wew...
14/12/2021

"Fanya mambo kwa ajili ya watu, si kwa sababu ya wao ni kinanani au wanafanya nini k**a malipo, lakini kwa sababu ya wewe ni nani."

14/12/2021

Hatuwezi kusaidia kila mtu lakini kila mtu anaweza kumsaidia mtu. Kumsaidia mtu kunaweza si lazima kubadili ulimwengu, lakini kutabadilisha ulimwengu kwa mtu huyo. Kumbuka ni vile vitendo vidogo vinapozidishwa na mamilioni ya watu vinaweza kubadilisha ulimwengu.

Address

Missuna
Singida

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255763494251

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Foundation For Tommorow posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Foundation For Tommorow:

Shortcuts

Share