09/06/2026
ππ Furaha, umoja na mafanikio ndiyo alama ya wanafunzi wetu! Kila tabasamu linaonyesha hatua moja zaidi kuelekea kutimiza ndoto zao za taaluma na maisha. Tunajivunia kuona vijana wakijifunza, wakishirikiana na kufurahia mazingira bora ya elimu.
π Kozi zinazotolewa:
π©Ί Diploma in Clinical Medicine
π Diploma in Nursing and Midwifery
π Diploma in Pharmaceutical Sciences
π¬ Diploma in Medical Laboratory Sciences
π€Έ Diploma in Physiotherapy
π§ββοΈ Diploma in Diagnostic Radiography
Karibu nawe uwe sehemu ya familia hii yenye furaha na mafanikio!