Empathy FEMA club Tinde Secondary

Empathy FEMA club Tinde Secondary We educate youth to develop well into their carrier. Shule yetu ipo wilaya ya Shinyanga kata ya Nsal

29/12/2023

Umejipangaje mwakani kuhakikisha kuwa unafanikiwa kwenye kutimiza malengo yako k**a mwanafunzi???

Wale wanafunzi hebu tiririkeni hapa

Vijana wetu wapya wa kidato cha kwanza wakienjoy jarida letu jipya huku wakiwa na shauku ya kujifunza mengi ndani ya fem...
03/03/2023

Vijana wetu wapya wa kidato cha kwanza wakienjoy jarida letu jipya huku wakiwa na shauku ya kujifunza mengi ndani ya fema club Tinde sec

04/01/2023
01/01/2023

Heri ya mwaka mpya nyote mnaofuatilia ukurasa huu.
Mungu awabariki nyote mwaka huu.

25/11/2022

Kwa huzuni kubwa tunasikitika kuwatangazia kifo cha mama mzazi wa Shija Bundala anayosema chuo kikuu cha Dodoma kwa sasa. Kijana ambaye ametutoa kimasomaso tangu shule kuruhusiwa kufanya mtihani wa necta ndiye yeye pekee aliyepata division One.

Pole sana ndugu Shija.
Tuendelee kumwombea mama yetu apumzike kwa amani.

Hawa ni watahiniwa wetu wakiwa kwenye matukio mbalimbali walipokabidhiwa vyeti vyao.Tunawashukuru sana kuwa wanafamilia ...
14/11/2022

Hawa ni watahiniwa wetu wakiwa kwenye matukio mbalimbali walipokabidhiwa vyeti vyao.
Tunawashukuru sana kuwa wanafamilia ya empathy fema club kwa miaka minne.
No matumaini yetu waliyojifunza darasani wanajibu vyema kwenye mitihani yao inayoendelea na yale waliyojifunza kutoka fema club wataenda kuyaishi vyema huko waendako.
Walipata mafunzo muruaa kabisaaa ya kijana jitambue najua wataenda kuyafanyia kazi bila kuacha hata kitu.
Sisi wanafema tunawatakia maisha mema pindi wamalizapo mitihani yao.

15/10/2022

Swali kwa wote:

Kwa nini kijana wa kiume akifeli shule wazazi watamtafutia kazi ya kufanya au watampa mchongo kuwa akafanye kitu flani ili waweze kujikimu; ila MTOTO WA K**E AKIFELI ANAOZESHWA(ANATAFUTIWA MUME)??????

Tiririkaaaaa hapa tujifunze pamoja.

Vijana wetu wanawatakia wakristo wote pamoja na waislamu wote mfungo mwema unaoendelea...
05/04/2022

Vijana wetu wanawatakia wakristo wote pamoja na waislamu wote mfungo mwema unaoendelea...

Leo tulikuwa busy kwelikweliiiii maana vijana walioko kwenye mradi wa KIJANA JITAMBUE walikuwa na kazi ya kuchora via vy...
23/03/2022

Leo tulikuwa busy kwelikweliiiii maana vijana walioko kwenye mradi wa KIJANA JITAMBUE walikuwa na kazi ya kuchora via vya uzazi vya mwanaume (nje na ndani) na vya mwanamke (nje na ndani)
Mjadala ulikuwa hot sana Kuhusu BALEHE.

Wewe balehe yako ilikuwaje?
(Karibu kwa comments)

Kazi imeanza rasmi leo kwenye mfunzo ya    Kwenye mfunzo haya wanamafunzo wanatarajia kupata elimu mbalimbali zikiwa zim...
09/03/2022

Kazi imeanza rasmi leo kwenye mfunzo ya

Kwenye mfunzo haya wanamafunzo wanatarajia kupata elimu mbalimbali zikiwa zimegawanyika katika makundi makuu mawili na wataweza kujifunza moduli 8
1. Linda maisha yako ina moduli 4
2. Jenga maisha yako ina moduli 4.
Wapo wanamafunzo zaidi ya 150 kutoka Tinde Sekondari

Stay tuned bado tupo jikoni tunapikwaaaaaaaa
24/02/2022

Stay tuned bado tupo jikoni tunapikwaaaaaaaa

Address

Nsalala Ward Shinyanga Dc
Shinyanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Empathy FEMA club Tinde Secondary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category