Ntunduru Secondary Voice

Ntunduru Secondary Voice Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ntunduru Secondary Voice, Education, makonge, Sengerema.

Asante MUNGU Kwa matokeo haya Tena ,japo hajakidhi malengo lakini ni matokeo mazuri sana kwetu. Tunawakaribisha wazazi k...
14/07/2025

Asante MUNGU Kwa matokeo haya Tena ,japo hajakidhi malengo lakini ni matokeo mazuri sana kwetu.
Tunawakaribisha wazazi kutuletea vijana mwaka huu wa kidato Cha Tano.
Sifa ni
1.Awe na C tatu zozote
2.Kwenye kombi anayotaka kusoma asiwe na F

K**A ANA SIFA HIZO BASI WAHI NAFASI BADO ZIPO.

Ntunduru secondary iliyopo mkoa wa mwanza wilaya ya sengerema inapenda kuwatangazia wazazina wanafunzi  kuwa inazo nafas...
19/12/2024

Ntunduru secondary iliyopo mkoa wa mwanza wilaya ya sengerema inapenda kuwatangazia wazazina wanafunzi kuwa inazo nafasi za kujiunga na kidato Cha 1,2,3,4,&5 Kwa mwaka 2025.
Shule ni ya bweni na ada ni nafuu sana.
Ada ni milioni Moja laki mbili Kwa mwaka ( 1,200,000/=) Kwa kidato Cha kwanza Hadi nne.
Na milioni Moja laki nne (1,400,000/=) Kwa kidato Cha Tano na sita.

Aidha ada inalipwa Kwa awamu nne k**a ifuatavyo.

O, level 350,000, 350,000, 300,000 na 200,000 kila baada ya miezi 3 .

A,level ni 350,000/= kila baada ya miezi 3 Kwa awamu 4.

Form ya kujiunga piga namba 0785841308 au 0766161137. (Makamu mkuu Ntunduru secondary)

KARIBUNI SANA

Tunawatakia mtihani mwema wa kuhitimu masomo Yao ya kidato Cha nne wanafunzi wetu wa 2024 .MUNGU awatagulie na wapate ma...
11/11/2024

Tunawatakia mtihani mwema wa kuhitimu masomo Yao ya kidato Cha nne wanafunzi wetu wa 2024 .
MUNGU awatagulie na wapate matokeo makubwa

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Emanuel Daniel, Leticia Majuto, Elihuruma Qambe, Fredinan...
16/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Emanuel Daniel, Leticia Majuto, Elihuruma Qambe, Fredinandi Oscar, Cmar Justine

Tunamshukuru Mungu wa mbingu na ardhi Kwa matokeo k**a haya mazuri Kwa vijana wetu. Tunawapongeza wote popote walipo wao...
15/07/2024

Tunamshukuru Mungu wa mbingu na ardhi Kwa matokeo k**a haya mazuri Kwa vijana wetu.
Tunawapongeza wote popote walipo wao na wazazi wao pia ,zaidi tunazidi kuwaombea MAFANIKIO makubwa ktk HATUA zinazofuata.
Tunawakaribisha sana NYOTE na nafasi za kidato Cha Tano Bado zipo tutawahudumia vijana Kwa upendo mkubwa

Midterm examinations form 1,2,3,4&5 wapo examinations zone wanaungua .Tumeanza kupokea maombi ya kujiunga kidato Cha 5 m...
21/03/2024

Midterm examinations form 1,2,3,4&5 wapo examinations zone wanaungua .

Tumeanza kupokea maombi ya kujiunga kidato Cha 5 mwaka 2024 na kuhamia kidato Cha 1,3&5 .
KOMBI zetu ni CBG, HGE,EGM,HGK,HKL & HGL

17/02/2024

Welcome form one 2024 Jana 16/2/2024 wakiwa wanajiaandaa kuingia ukumbini.
Nyuso zao zikiwa na furaha sana.

Karibuni sana vijana wetu Ntunduru sec inawapenda na itawapatia kile mnahitaji katika Elimu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Kijana wetu mtaalamu wa kuchora, kipaji chake hiki ni mhimu sana kuendelezwa. Ni form six CBG Mungu abariki kipawa hiki ...
17/02/2024

Kijana wetu mtaalamu wa kuchora, kipaji chake hiki ni mhimu sana kuendelezwa.
Ni form six CBG Mungu abariki kipawa hiki Kwa huyu kijana

08/12/2023

NTUNDURU SEKONDARI.
Tunawangazia wazazi na walezi kuwa shule imeshaanza kupokea maombi ya kujiunga na kidato Cha kwanza Kwa mwaka wa masomo 2024.

Pia shule inazo nafasi za kuhamia Kwa kidato Cha pili (2), tatu (3), nne (4) na Tano (5). Kwa mwaka 2024.

Form za kujiunga zinapatikana shule sengerema mtaa wa makonge Kwa gharama ya tsh. Elfu kumi (10,000/=).

Pia form unaweza kutumiwa Kwa njia ya WhatsApp Kwa namba 0766161137.

Fika shule ama wasiliana na makamu mkuu wa shule Kwa namba 0766161137 au 0785841308.

KARIBUNI KWA ELIMU BORA NA MALEZI SAFI KWA VIJANA.

NTUNDURU SEKONDARI.Tunapenda kuwatangazia wazazi kuwa tumeanza kupokea maombi ya kujiunga na kidato Cha kwanza Kwa mwaka...
16/11/2023

NTUNDURU SEKONDARI.
Tunapenda kuwatangazia wazazi kuwa tumeanza kupokea maombi ya kujiunga na kidato Cha kwanza Kwa mwaka wa masomo 2024 . Form zinapatikana shuleni na Kwa njia wa WhatsApp.piga namba 0766161137 au 0785841308 .
Namba hizo ni za makamu mkuu wa shule.

Ntunduru sec staff inawatakia wanafunzi wetu wa kidato Cha nne 2023 mtihani mwema wa kuhitimu elimu Yao ya kati ( kidato...
12/11/2023

Ntunduru sec staff inawatakia wanafunzi wetu wa kidato Cha nne 2023 mtihani mwema wa kuhitimu elimu Yao ya kati ( kidato Cha nne)
Tunaamini kuwa Mungu atawasimamia na kuwalinda kipind chote zaidi

Address

Makonge
Sengerema

Telephone

+255766161137

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ntunduru Secondary Voice posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ntunduru Secondary Voice:

Shortcuts

Share

Category