St Clara girls secondary school

St Clara girls secondary school This is the official face book page of st Clara girls secondarly school

12/11/2021

The struggle continues

Karibuni wote...
10/06/2021

Karibuni wote...

Hatimaye Mungu ametuwezesha kumaliza term salama. Tunawatakia likizo njema( japo fupi) wanafunzi na walimu wetu. Mungu a...
06/06/2021

Hatimaye Mungu ametuwezesha kumaliza term salama. Tunawatakia likizo njema( japo fupi) wanafunzi na walimu wetu. Mungu awe nanyi nyote. Tukutane tarehe 19.06.2021 kwa masomo ya ziada.

Tunawaombea wanafunzi wetu wa kidato cha nne,mema,wanapojiandaa kuanza mitihani ya utamirifu (mock ya mkoa wa Kilimanjar...
16/05/2021

Tunawaombea wanafunzi wetu wa kidato cha nne,mema,wanapojiandaa kuanza mitihani ya utamirifu (mock ya mkoa wa Kilimanjaro),kesho 17/05/2021. Mungu awatangulie

Shule ya Mt Clara inawatangazia interview za form one 2022 k**a ifuatavyo1. Moshi...St Maria Goreti 17/09/20212. Arusha....
07/05/2021

Shule ya Mt Clara inawatangazia interview za form one 2022 k**a ifuatavyo
1. Moshi...St Maria Goreti 17/09/2021
2. Arusha...Arusha School 17/09/2021
3. Dar...Msimbazi...17/09/2021,02/10/2021
4. Same ..Mother Kevin ..17/09/2021
5. Kisiwani ..St Clara 17/09/2021,02/10/2021

Karibuni sana

Kwa pamoja tunaungana na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa raisi wetu hayati DR. John Pombe Joseph Ma...
24/03/2021

Kwa pamoja tunaungana na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa raisi wetu hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli. Mungu awape faraja ya kweli Mama Janeth Magufuli pamoja na familia yake.
REST IN PEACE BABA.

Miundo mbinu mizuri kwa kwa ajili ya masomo ya watoto wetu. TO GOD BE THE GLORY ๐Ÿ™๐Ÿ™Kwa wale wanaohitaji nafasi za watoto ...
02/03/2021

Miundo mbinu mizuri kwa kwa ajili ya masomo ya watoto wetu. TO GOD BE THE GLORY ๐Ÿ™๐Ÿ™
Kwa wale wanaohitaji nafasi za watoto wao kwa kidato cha tano mwaka huu,fomu zinapatika Msimbazi centre,Dar es Salam chumba namba 41. Kwa maelezo piga namba
1. Mkuu wa shule 0784 157 037
2. Makamu 0756 583 537
3. Taaluma 0765 268 754
4. Taaluma 0757 678 559
MCHEPUO YA SANAA
HKL
HGL
HGK
Nyote mnakaribishwa

Mwenyezi Mungu na azidi kusifiwa. Hongereni sana watoto wetu. Tunazidi kuwaombea katika hatua zenu za baadaye. VIVA ST C...
15/01/2021

Mwenyezi Mungu na azidi kusifiwa. Hongereni sana watoto wetu. Tunazidi kuwaombea katika hatua zenu za baadaye. VIVA ST CLARA!!!!!!

Ee Mungu wa milele usiyezeeka, uliyeumba kila kitu kwa utaratibu, Wewe ambaye ni chanzo cha ufahamu na busara yetu, unay...
22/11/2020

Ee Mungu wa milele usiyezeeka, uliyeumba kila kitu kwa utaratibu, Wewe ambaye ni chanzo cha ufahamu na busara yetu, unayeangaza akili zetu kwa mwanga wa imani. Tia ndani ya akili ya hawa wanafunzi matone ua busara na maarifa yako; ondoa giza la kutofahamu kwao. Wape uwezo wa kuongea kwa ufasaha; uwajalie uwezo wa kuandika na kufikiri kwa hekima, uwajalie kipawa cha kukumbuka yote waliojifunza na kipawa cha kufafanua sawasawa yote wanayosoma.

AMEN

20/11/2020

Tarehe 23:11:2020 wanafunzi hawa wataanza mtihani wao wa kidato Cha nne. Tunawaombea Mungu azidi kuwa pamoja nao katika maandalizi yao na pia katika mitihani yao. St Clara ibaki kuwa kichwa. BEST WISHES TO THEM

Tunamshukuru Mungu kwa matokeo mazuri ya mock mkoa wa Kilimanjaro 2020. Tunazidi kumuomba Mungu azidi kuwa pamoja nasi n...
05/10/2020

Tunamshukuru Mungu kwa matokeo mazuri ya mock mkoa wa Kilimanjaro 2020. Tunazidi kumuomba Mungu azidi kuwa pamoja nasi na wanafunzi wanapoendelea na maandalizi yao ya mtihani wa kitaifa.

Karibuni Sana...
29/09/2020

Karibuni Sana...

Address

P. O. Box 312
Same
25KMFROMSAMET

Telephone

+225754220459

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Clara girls secondary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category