St Joseph VTC - SAME

St Joseph VTC - SAME

Comments

VIP chuo
kwemaa jaman walimu wangu
Kimaro godlisten from st joseph 2017
Kijana mweny fani mbalimbali from st joseph vtc 2016 up to 2017 tunapndezesh mazingira tunpatkana kwa nmba 0712260934
nver gv up st j
Haaaaaa kweli
TUNAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE WATAKAOPENDA KUSOMEA USIMAMIZI WA HOTEL NA UTALII, KOZI IMESHAANZA NA TUNAENDELEA KUPOKEA WAHI DARASA LINAKARIBIA KUJAA
CHUO KINAKARIBISHA WANAOPENDA KUSOMA KOZI YA USIMAMIZI WA HOTELI NA UTALII KWA MWAKA 2018 NAFASI ZIPO NA WOTE MNAKARIBISHWA KUTOKA PANDE ZOTE ZA TANZANIA MAWASILIANO: 0769 985 940
matokeo vp
Students of St Joseph V.T.C

Chuo cha ufundi cha St Joseph VTC Same Kinawaandaa vijana kwa ustadi wa Maisha yao Umeme, Makenika, Useremala, Gereji, Mafunzo ya hoteli, Udereva na Computer.

Operating as usual

17/07/2019

Photos from St Joseph VTC - SAME's post

12/07/2019

Photos from St Joseph VTC - SAME's post

11/07/2019

Photos from St Joseph VTC - SAME's post

21/05/2019

Photos from St Joseph VTC - SAME's post

21/05/2019

MARA WANAFUNZI WANAPOJIUNGA NA CHUO HUPEWA USAFIRI WA BAISKELI ILI KUWEZA KWENDA NA MUDA

22/03/2019

KOZI MPYA YA KILIMO IMEANZA

TREKTA MPYA IKIUGANISHWA KWA AJILI YA MAFUNZO YA KILIMO

22/03/2019

KARIBU ST. JOSEPH VTC SAME KOZI MPYA YA KILIMO NA UFUGAJI IMEKARIBIA KUANZA KWA KUKAMILISHA MAHITAJI NA MIUNDOMBINU YA KUWEZESHA MWANAFUNZI KUSOMA KWA UHAKIKA NA KWA MATENDO YA KUMJENGA TREKTA MPYA IKIUNDWA KWA AJILI YA KUANZA MAFUNZO

26/12/2018

KARIBU ST. JOSEPH VTC SAME KWA UFUNDI STADI

26/12/2018

CHRISTMAS WISHES AND NEW YEAR 2019

11/11/2018
20/10/2018

saintjosephvtc.wix

retrieve our college
website on http://saintjosephvtc.wixsite.com

saintjosephvtc.wix

Untitled Album 07/10/2018

Untitled Album

24/09/2018
Untitled Album 18/08/2018

Untitled Album

02/08/2018

Untitled Album

[08/02/18]   NOW WE ARE OPEN AND YOU ARE WELCOME AS ALL TECHNICAL AND GRATITUDE COURSES ARE STILL OFFEREDYOU ARE ALL WELCOME TO ST. JOSEPH VTC FOR THE BETTERMENT OF YOUR FUTURE. WE STIVE TO ACHIEVEMENT

22/07/2018

Untitled Album

Untitled Album 22/07/2018

Untitled Album

11/07/2018
Untitled Album 01/06/2018

Untitled Album

30/05/2018

Saint Joseph VTC - Same

Images: Saint Joseph VTC, Same, Kilimanjaro; theory and practical classes.
Music: Booba - DKR.

Untitled Album 29/05/2018

Untitled Album

28/05/2018

ST. JOSEPH VTC PICTURES AND EVENTS IN DIFFERENT COURSES: CARPENTRY, ELECTRICAL, MECHANICS, HOTEL MANAGEMENT, COMPUTER, DRIVING

WELCOMEπŸ‘©πŸΏβ€πŸŽ“πŸ‘¨πŸΎβ€πŸŽ“

Untitled Album 28/05/2018

Untitled Album

25/05/2018

ST. JOSEPH VTC PICTURES AND EVENTS IN DIFFERENT COURSES

Untitled Album 25/05/2018

Untitled Album

22/05/2018

COMPUTER CLASS FOR SHORT COURSE AND FULL COURSE ARE INVITED;
DARASA LA KOMPYUTA KWA KOZI FUPI NA KOZI NDEFU MNAKARIBISHWA

21/05/2018

Instructor Lawi with student at practical work

17/05/2018

CHUO KINAKARIBISHA WANANCHI WOTE WENYE KUPENDA KUJIUNGA NA KOZI TAJWA KATIKA KIPEPERUSHI WAHI SASA NAFASI ZILIZOBAKI NI CHACHE
MKUU WA CHUO
ST. JOSEPH (VTC) SAME KILIMANJARO

01/05/2018

St Joseph VTC - SAME

TUNAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE WATAKAOPENDA KUSOMEA USIMAMIZI WA HOTEL NA UTALII, KOZI IMESHAANZA NA TUNAENDELEA KUPOKEA WAHI DARASA LINAKARIBIA KUJAA

01/05/2018

TUNAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE WATAKAOPENDA KUSOMEA USIMAMIZI WA HOTEL NA UTALII, KOZI IMESHAANZA NA TUNAENDELEA KUPOKEA WAHI DARASA LINAKARIBIA KUJAA

18/04/2018

CHUO KINAKARIBISHA WANANCHI WOTE WENYE KUPENDA KUJIUNGA NA KOZI TAJWA KATIKA KIPEPERUSHI WAHI SASA NAFASI ZILIZOBAKI NI CHACHE
MKUU WA CHUO
ST. JOSEPH (VTC) SAME KILIMANJARO

17/04/2018

St Joseph VTC - SAME

Wanafunzi wa kozi ya kompyuta katika chuo cha Ufundi Stadi St. JOSEPH (VTC) - SAME MKOANI KILIMANJARO iliyopo chini ya jimbo katholiki la Same wakiwa katika mafunzo kwa Vitendo. Chuo hutoa mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi katika fani hiyo ambapo mafunzo ya muda mrefu huchukua mwaka mmoja na yale ya muda mfupi huchukua miezi mitatu mpaka sita.
St. JOSEPH (VTC) - SAME inawahamasisha vijana wa mkoa wa Kilimanjaro na maeneo mengine kujiunga na kozi hiyo yenye fursa kubwa za ajira.

Untitled Album 13/04/2018

Untitled Album

Videos (show all)

KOZI MPYA YA KILIMO IMEANZA
KARIBU ST. JOSEPH VTC SAME KWA UFUNDI STADI

Location

Category

Telephone

Address

Same
PO BOX 8

General information

Chuo cha ufundi cha St Joseph VTC Same ni chuo kinachomilikiwa na Jimbo katoliki la Same, chini ya Baba askofu Rogath Kimaryo. Chuo kilianzishwa mwaka 2014. Chuo kinatoa mafunzo katika fani za - Umeme - Makenika - Useremala - Uchomeleaji - Gereji - Ushonaji - Uashi - Mafunzo ya Hoteli Pia kinatoa mafunzo ya muda mfupi k**a - Udereva kwa mwezi mmoja - Computer miezi mitatu - Mafunzo ya Hoteli Nyote Mnakaribiswa St Hoseph VTC !
Other Public Schools in Same (show all)
Ntenga Secondary School Ntenga Secondary School
Ntenga
Same, BOX 263

A page for Ntenga Secondary Students