Alfayo Malya Muro

Alfayo Malya Muro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Alfayo Malya Muro, School, Same, Same.

18/10/2024

Hivi Babu yetu Adamu alienda wapi hadi Nyoka akafanikiwa kumlaghai Bibi yetu Hawa!?! Ona Sasa adhabu ilivyo nzitooo

12/09/2023

32 seconds · Clipped by Nelson Salema · Original video "Fanuel Sedekia - Nishike Mkono (Official Video)" by Africha Entertainment

01/08/2023

Narudia CHADEMA tafuteni sera zitakazotuonesha jinsi ya kutatua changamoto za maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Acheni Sera za kurukia matukio na kupanda nazo majukwaani. Ukweli Watanzania wengi hawajawaelewa.
Kiongozi wenu anasikitisha sana anaposahau alituambia nini Jana, na ndiyo sababu sasa ameanzisha Sera za kusifia awamu ilopita na anapanga safari ya kwenda Chato kwenye kaburi la🚶zake. Hata aende kulala kwenye Hilo kaburi la 🚶zake haitawasaidia.

Hao mnaowaona wakihudhuria mikutano yenu wanakuja tu kuwashangaa. Kiki za kusifia Hayati Magufuli haitawasaidia chochote coz Watanzania kwa jinsi mbali mbali walinufaika na pia kuna walioumia, na sio rahisi kujua asilimia zao 🤦

18/07/2023

Chadema acheni Sera za kuimba matukio kila Leo. Wananchi hawana agenda za michakato ya katiba au mikataba ya bandari. Tuanataka kusikia chama kitakacho address juu ya ajira za vijana wetu, utatuzi wa bei za vyakula kula kuwa nafuu na pia mafao ya wastaafu yaliyokokotolewa na kuwaumiza wazee. Kusubiri serikali itende jambo na kuanza mikotano ya ukosoaji Ni kukosa Sera. Fikirini jinsi ya kumsaidia mtanzania wa kawaida ambaye anapata mlo kwa shida. Fikirini vizuri jinsi ya kuwasaidia vijana ambao kila leo wanazunguka na vyeti kwenye usaili wakitafuta ajira 🤔🙄

17/07/2023

Itoshe tu sasa. Wananchi wanataka kiongozi atakayeweza kutatua changamoto za maisha ya kila siku. (Katiba mpya, mikataba na miradi is not an issue). Tuanataka kusikia utatuzi wa bei za vyakula zinazopanda kila leo! Tuanataka kuona kiongozi anayeweza kutatua changamoto za maisha. Mwananchi wa kawaida hajui maana ya mijadala inayoendelea. Anachohitaji Ni unafuu wa maisha k**a vile bei rafiki ya vyakula nk

03/04/2023

Wakubwa wakiulizwa ushirikishwaji wa kikokotoo kipya Cha mafao ya wastaafu 🤔 nasikikia wakidai walishirikishwa kwenye vikao. Hivi ni kweli? 🤔Hivi walikutana wapi na hao watumishi? Mbona hiki kikokotoo Ni majanga tupu. Siyo sawa kabisa

Address

Same
Same
BOX 162-SAME

Telephone

+255787911522

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alfayo Malya Muro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Alfayo Malya Muro:

Shortcuts

Share

Category