09/12/2022
*SHULE PENDWA YA HENRY WINKELMOLEN*
Henry winkelmolen Nursery and Primary school,ni shule inayotoa elimu bora kwa watoto kuanzia ngazi ya chekechea hadi darasa la saba kwa mchepuo wa kingereza.
Habari njema ni kwamba,shule hiyo inawatangazia wazazi tarehe za usaili wa wanafunzi wapya ni kuanzia tarehe 17 mwezi huu 2022 nakuendela ,na terehe 09 mwezi wa kwanza 2023 na kuendelea .
*Fomu za kujiunga zinapatikana maeneo yafuatayo:*
1. Same (Shuleni Henry Winkelmolen 0715430500, 0656839791,)
2. Dar es Salaam (0787870362)
3. Moshi Bookshop/Kristo Mfalme(0766483297)
4. Dodoma (0755477163)
5. Korogwe (0677601727)
6. Arusha (0753201721)
7. Morogoro
(0659777671)
Shule inamazingira rafiki kwa watoto ,mtoto wako akifika shuleni anakuwa hana tofauti na anapokuwa nyumbani kwa namna ambavyo malezi yanavyotolewa.
Shule ipo Same mjini karibu kabisa na Hospitali ya Wilaya ya Same.
Kwa mawasiliano zaidi tucheki kupitia namba,0767106761, 0626069124,0656839791 Instagram;.