Kirinjiko Islamic English Medium Primary School

Kirinjiko Islamic English Medium Primary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kirinjiko Islamic English Medium Primary School, Private School, 62, Same.

Mwalimu Mkuu wa shule ya Kirinjiko Islamic English Medium primary school akiwa katika majukumu yake ya usimamizi wa male...
07/11/2021

Mwalimu Mkuu wa shule ya Kirinjiko Islamic English Medium primary school akiwa katika majukumu yake ya usimamizi wa malezi bora ya mwanao. Karibu sana kwa Elimu bora. Madam Amina Babu

07/11/2021

Asalaam aleikum warahamatul lah wabarakatul. Karibu Kirinjiko Islamic English Medium kwa nafasi za masomo za mwaka 2022. Nafasi za kuhamia za darasa la pili, tatu, tano na sita zipo chache.

Shule ni ya maadili ya Kiislam inayofuata mitaala ya wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi Tanzania. Ada yetu ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu nne.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie +255787954574

Karibu Kirinjiko Islamic Pre-Primary school iliyopo wilaya ya same Mkoa wa Kilimanjaro kwa Elimu bora ya watoto wako.
06/11/2021

Karibu Kirinjiko Islamic Pre-Primary school iliyopo wilaya ya same Mkoa wa Kilimanjaro kwa Elimu bora ya watoto wako.

06/11/2021

Asalam aleikum, Karibu Kirinjiko Islamic Pre- Primary school kwa Elimu bora ya wanao.

Assalam a'laykum Warahmatullah Wabarakatuh ndugu Wazazi na Walezi. Kirinjiko Islamic Primary inawakaribisheni Wazazi na ...
06/11/2021

Assalam a'laykum Warahmatullah Wabarakatuh ndugu Wazazi na Walezi. Kirinjiko Islamic Primary inawakaribisheni Wazazi na Walezi wote kuwaleta vijana ili wapate Malezi na Taaluma Bora kwa Ada nafuu. Shule yetu ni ya Kutwa na Bweni.

Address

62
Same
25607

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kirinjiko Islamic English Medium Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kirinjiko Islamic English Medium Primary School:

Shortcuts

Share

Category