Bushiri Secondary School

Bushiri Secondary School Fountain of knowledge

09/03/2022

Nawasalimu sana jumuiya ya Bushiri sekondari.

Bushiri will always there to save you.
24/05/2021

Bushiri will always there to save you.

Hi to you all Bushiri society.
24/05/2021

Hi to you all Bushiri society.

28/05/2020

Bushiri sekondari inawahusia watu wote kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. Tunawapenda sana hivyo endeleeni kuchukua tahadhari hasa wanafunzi wetu wote mliopo likizo hii ya Corona.

24/04/2020

DO EVERYTHING WITH A GOOD HEART AND EXPECT NOTHING IN RETURN. YOU'LL NEVER BE DISAPPOINTED...

12/04/2020

Hello Bushiri societies are you there? Hope u are doing good out there. We are wishing you all a nice celebration of Noel day. KARIBUNI na Mungu awabariki sana siku hii ya leo.

Kumbuka kuchukua tahadhari zote juu ya Corona hasa kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya. Tunawapenda sana Bushiri sekondari na tunawatakia afya njema. STAY AT HOME.

01/01/2020

BUSHIRI SECONDARY SCHOOL WISHING YOU THE BEST IN THIS YEAR 2020. MAY GOD BLESS YOU ALL.

25/12/2019

CHRISTMAS HII IWE YENYE BARAKA NA FANAKA KWENU NYOTE. MBARIKIWE NINYI NYOTE.

21/07/2019

Habari wana Bushiri sekondari pamoja na wadau wengine wa elimu.

Ungependa kuiambia nini Bushiri sekondari katika kufikia malengo mapya ya gurudumu la taaluma. karibu kwa mawazo yako.

31/05/2019

Bushiri sekondari tupo pamoja katika kumpa pole mwl Shemahonge kwa kumpoteza baba yake kipenzi Bw. Charles Y. Shemahonge. Mwenyezimungu ailaze roho ya baba yetu mpendwa mahala pema peponi. Amen

26/01/2019

Div I= 2,
Div II=5,
Div III=11,
Div IV=43,
0=5.
This is Bushiri sec. school. Congratulation to all staff members and thank you Lord.

10/11/2018

wanafunzi wa kidato cha nne wanakaribia kumaliza mitihani yao. kwa pamoja tuwatakie kila la heri. Bushiri sec school is the fountain of real knowledge.

Address

P. O. Box 28
Pangani

Telephone

0784946868

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bushiri Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category