07/05/2026
π’ KARIBUNI β AL HIJRA ISLAMIC SCHOOLS Pangani - TANGA
π― Kipaumbele chetu kikubwa ni MALEZI β kuhakikisha mwanafunzi anakuwa bora kitabia, kiimani na kielimu na misingi imara ya kitaaluma.
π Pia tunatarajia kuanza Programu ya PRE-FORM ONE mwezi wa 9, ikiwa ni fursa adhimu kwa wanafunzi wanaojiandaa kujiunga na sekondari.
π° Gharama ni nafuu sana kwa:
βοΈ Wanafunzi wa kutwa
βοΈ Wanafunzi wa bweni
π Hii ni nafasi ya kipekee kwa mzazi kuhakikisha mtoto wake anapata malezi bora sambamba na elimu yenye mwelekeo sahihi.
π Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi: 0741 990 736
Karibu AL HIJRA ISLAMIC SCHOOLS β Tunakuza elimu, tunajenga maadili.