MT Ezekiel - Elemu ya Kiroho & Maisha.

MT Ezekiel - Elemu ya Kiroho & Maisha. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MT Ezekiel - Elemu ya Kiroho & Maisha., Education Website, Nyegezi.

30/03/2026

Pray and Read the words

27/03/2026

Nguvu ya Mabadiriko ipo Mikononi mwako. 💪💪💪
Mamlaka Ipo kwa Mungu.

Je Unataka Kujua Sehemu gani imebeba Mafanikio Yako? Usipuuze Wakati ni Sasa. Endelea Kufatilia page hii..
27/03/2026

Je Unataka Kujua Sehemu gani imebeba Mafanikio Yako?
Usipuuze Wakati ni Sasa.
Endelea Kufatilia page hii..

27/03/2026
God is Present God is RealYou can't be successful without his Mercy Katika Vitu ambavyo Mungu huwa anavitazama kwa Mtu K...
27/03/2026

God is Present
God is Real
You can't be successful without his Mercy

Katika Vitu ambavyo Mungu huwa anavitazama kwa Mtu Kabla Ya Kumbariki
1. Kiwango chake cha Unyenyekevu
2. Kiwango chake cha Kujitoa na Kutoa
3. Kiwango chake cha Utiifu

Utapewa kutokana na Kiwango chako, Ukubwa wa Kiwango chako ndio ukubwa wa Sahani Yako ya Kupokea Vitu Toka Kwa Mungu.

Let's keep worshipping God

Unapopita katika changamoto, Acha kutumia Muda Mwingi Kujiuliza au Kulalamika kwanini Umeingia katika hiyo Changamoto. B...
14/03/2026

Unapopita katika changamoto, Acha kutumia Muda Mwingi Kujiuliza au Kulalamika kwanini Umeingia katika hiyo Changamoto.
Badala yake, Tumia Muda mwingi Kutafakari ni Namna gani unaweza kutoka katika hiyo changamoto.

Watu wengi tunapoteza muda katika Kutafuta kwanini nimeingia katika hili? Badala ya Kutafuta Suluhisho.

Open up your mind set.💪

😥😥Majira yako ya mateso (Season of Aflliction), ni majira muhimu ya kukusaidia kuwajuwa watu.Ukipitia majira haya,  mara...
27/02/2026

😥😥Majira yako ya mateso (Season of Aflliction), ni majira muhimu ya kukusaidia kuwajuwa watu.

Ukipitia majira haya, mara nyingi utagundua kuwa hauko kwenye hali nzuri aidha kifedha, kiafya au umepoteza kazi n.k

Hapa ndio utajua watu wako wa karibu. Kuna wengi ambao ulikuwa unafikiria kuwa ni watu wako wa karibu sana, utakuja kugundua kuwa sio k**a ulivyokuwa unadhani.

Ukweli ni kuwa, mambo yatabadilika na watu ambao wanakuzunguka pia watabadilika.

Uwe makini na kila kinachoendelea kwenye maisha yako na kila anayekuzunguka kwa wakati huo, kwa sababu ukishavuka hapo utahitaji kufanya mabadiliko ya aina ya watu wanaokuzunguka.

24/02/2026

Learning is Long life process.
Jifunze Leo kwa Matokeo makubwa ya Kesho Yako.

Jifunze, Fanyia kazi, Badiri maisha Yako.
23/02/2026

Jifunze, Fanyia kazi, Badiri maisha Yako.

21/02/2026

Asiyependa Maarifa. Amekataa Kufanikiwa.
Be the first to meet your Dreams

Address

Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MT Ezekiel - Elemu ya Kiroho & Maisha. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share