Shule ya msingi nyamwage

Shule ya msingi nyamwage SHULE INA MAZINGIRA MAZURI YA KUFUNDISHA NA KUJIFUNZIA.

Ni shule ya msingi ya serikali iliyoko katika kijiji cha Nyamwage Kata ya Mbwara Tarafa ya Mohoro Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.

Zoezi la ugawaji wa net kwa wanafunzi limekamilika wazazi wahimizeni watoto kuzitumia ipasavyo si kinyume chake
23/03/2021

Zoezi la ugawaji wa net kwa wanafunzi limekamilika wazazi wahimizeni watoto kuzitumia ipasavyo si kinyume chake

Hongera Rais wa JMT Mungu awe pamoja na sisi katika kulijenga Taifa letu.
19/03/2021

Hongera Rais wa JMT Mungu awe pamoja na sisi katika kulijenga Taifa letu.

R. I. P   SOLDIER.
18/03/2021

R. I. P SOLDIER.

24/02/2021

WAZAZI MNAALIKWA KUHUDHURIA KIKAO SHULE YA MSINGI NYAMWAGE SIKU YA ALHAMISI SAA 3:00 ASUBUHI FIKA BILA KUKOSA

23/11/2020

WAZAZI MNATAKIWA KUJA KUWAANDIKISHA WATOTO KUJIUNGA NA ELIMU YA AWALI NA DARASA LA KWANZA MUDA NDIO HUU NJOO NA KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA NA CHETI CHA KUZALIWA CHA MTOTO NA HATA K**A HAKUNA HIVYO VITU USIACHE KUJA.MPE MTOTO HAKI YAKE.ATAKAYESOMA TANGAZO HILI AMFAHAMISHE NA JIRANI YAKE.ASANTENI

Njia shirikishi ni njia Bora katika kuwajengea wanafunzi kumbukumbu na uwezo wa kujiamini.
22/10/2020

Njia shirikishi ni njia Bora katika kuwajengea wanafunzi kumbukumbu na uwezo wa kujiamini.

14/06/2020
Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii ni muda wa kila mmoja wetu kujifuata ili kutimiza ndoto zake. .
16/05/2019

Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii ni muda wa kila mmoja wetu kujifuata ili kutimiza ndoto zake.
.

Address

Nyamwage

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule ya msingi nyamwage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Shule ya msingi nyamwage:

Shortcuts

Share

Category