Ilowola Secondary School Official

Ilowola Secondary School Official

Comments

Jamani tuendelee kuwap watoto elimu bora na yenye maadili mema asanteni kwakila kitu Ilowola isongembele tu
Natamani kujua ufahuru wa shule
Rest easy brother Joseph Lotto
I lyk it ma school
St Dominic Savio Pilgrimage Services chini ya kituo Cha Vijana Donbosco Upanga

Tunawaalika Vijana wote Wakatoliki Kutoka majimbo mbalimbali hapa nchini kwetu TANZANIA kwa makundi yote

1.TYCS
2.TMCS
3.VIWAWA

Katika Safari Takatifu ya Hija itakayofanyika katika Kituo cha matokeo ya "Mama Bikira Maria huko Kibeho nchini Rwanda"
KABLA, ya Hija takatifu kuanza tutatanguliwa na matembezi ambayo yanalenga kutujengea uwezo na uelewa miongoni mwetu sisi vijana kutoka katika nchi hiyo ya Rwanda, hivyo tutatembelea

1.UBALOZI WA TANZANIA
GENOCIDE MEMORIAL CENTER (Kituo cha kumbukumbu ya mauaji ya Vita ya makabila ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo)
2.KIGALI CONVERSATION CENTER
3.MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA MAPADRI WA DONBOSCO AFRIKA YA KATI
4.RADIO MARIA RWANDA

Baada ya matembezi hayo tutamaliza na Ibada takatifu ya Hija huko kwa Mama Bikira Maria wa Kibeho ambalo ndilo kusudio kuu.
GHARAMA, ni Tsh.370,000/= ikijumuisha Usafiri,chakula,malazi, pamojaTisheti.
Kila mhujaji atapaswa kuwa na Tsh.20,000 pembeni kwa ajili ya hati ya muda ya Kusafiria na litakuwa jukumu la kamati ya maandalizi kushughulikia hati ya Kusafiria upatikanaji wake.
Tunatoa wito wetu kwa Viongozi wa Dini Mapadri, Masista,Makatekista, Pia wazazi,walezi na wote wenye Mapenzi ya dhati kwa vijana kuwasaidia vijana uwezo wa kumudu gharama ili waweze kuungana na vijana wengine katika safari hii ya kipekee kwa vijana ambayo itawahimarisha kiroho na kimwili

*SAFARI LINI*
JUNE 20-30,2020

Neno letu katika Safari hii Ni kutoka kwa Mt Donbosco Baba na Mwalimu wa Vijana pale aliposema"Inatosha kuwa ninyi Ni Vijana kunifanya niwapende Sana"
MALIPO YANALIPWA

katika ofisi zetu zilizopo Donbosco Upanga
Au kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Nambari

0788 228 035
0719 722 212
0716 641 734
Good. School
Eric-Louis in his study tour in ilowola secondary school sharing experience with teachers and students
Learning by practice
Dat year
REMEMBER without god no any thing will be done
Hongereni Sana walimu na wanafunzi wa ilowola kwa kufanya vizuri,mungu awabariki Sana,by mzazi wa Suzana msuya form one.

The main objective of this page is to share the information about the school with various stakeholders.

Operating as usual

15/01/2022

Ilowola performance 2021

15/08/2021

Karibu ujipatie elimu bora.

15/08/2021

Tunapokea maombi ya kujiunga ILOWOLA sekodari 2022. Karibu ujipatie elimu bora.

28/07/2020

Looking forward to receiving lots of new students in 2021. Karibuni sana. Nafasi ya masomo kidato cha kwanza.

Ilowola has always been doing great. We love you all.

30/10/2018

Mass for form four national exam. Join me to wish them many blessings.

23/07/2018

Memories of Milteberg in Germany with teachers and students

19/07/2018

41.59.85.98

for more details you can visit
http://41.59.85.98/results/2018/acsee/results/s4260.htm

41.59.85.98

19/07/2018

Once again Ilowola secondary school shines in the form six national examination results. Second in Njombe region. 6 division ones, 16 division twos and 10 division threes. No division 4, No division 0.

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 21/06/2018

Ilowola teachers and students on study tour in Germany.

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 24/02/2018

ILOWOLA SECONDARY SCHOOL graduate. Now in China doing Medicine.

10/01/2018

National Form two results. Great performance from Ilowola.
No matokeo mazuri kabisa toka Ilowola.

28/12/2017

Christmas at Ilowola

28/12/2017

Christmas eve

02/09/2017

Forms for form one 2018 now ready. Get your form now. Call +255754610256.

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 02/09/2017

St Augustine day. Baptism. First communion. Well come f5. TYCS graduation.

14/06/2017

Woow, Congratulations to Ilowola teachers. All 2016 form four graduates selected to join high school.

04/05/2017
04/05/2017

Ilowola Secondary School Official's cover photo

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 04/05/2017

Photos from Ilowola Secondary School Official's post

04/05/2017

Ilowola Secondary School Official

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 09/04/2017

Wellcome to Ilowola sec school. Niw recruiting form five

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 10/01/2017

Ilowola Bakery

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 11/10/2016

Photos from Ilowola Secondary School Official's post

09/10/2016
09/10/2016
Photos from Ilowola Secondary School Official's post 14/08/2016

Photos from Ilowola Secondary School Official's post

07/08/2016

Dear Marafiki wa ILOWOLA. Sasa kuna high school CBG, PCB, HGK, na HGL. Mtihani form one utakuwa september 17.

Warmly wellcome

Photos from Ilowola Secondary School Official's post 26/04/2016

Photos from Ilowola Secondary School Official's post

Timeline photos 18/02/2016

Ilowola shines once again in national results.

Timeline photos 20/12/2015

Preform one.

Timeline photos 02/12/2015

Ilowola park

Timeline photos 02/12/2015

A cow liking themineral stone at ilowola

28/11/2015

Distinct commissioner on the launch of Ilowola Park.

28/11/2015

Launching Ilowola Park.

16/11/2015

Ilowola Secondary School Official's cover photo

Videos (show all)

Mass for form four national exam.  Join me to wish them many blessings.
Christmas at Ilowola
Christmas eve
Distinct commissioner on the launch of Ilowola Park.
Launching Ilowola Park.

Location

Category

Telephone

Address


P.o.box 801
Njombe
801

Other Njombe schools & colleges (show all)
St benedict primary school /the njombe accademy St benedict primary school /the njombe accademy
550 Njombe
Njombe, 255

to all mama zoccas children

Blood Donors Club Njombe High School Blood Donors Club Njombe High School
P.O.BOX 144
Njombe

Ni kikundi cha kulimisha,kushauri na kuhamasishaji ktk Mashule,vyuo ,Mataasisi .Makanisan na Misitin ktk uchangiaj wa damu mkoa wa Njombe mjini

Kabelege veterinary centre Kabelege veterinary centre
PO.BOX 688 NJOMBE
Njombe

Tandala Teachers' College Tandala Teachers' College
Tandala
Njombe, 255

The page for Tandala Teachers College