Njombe FDC

Njombe FDC Njombe FDC is an Folk Development College in the southern highlands of Tanzania

09/08/2025
Nafasi za kujiunga na Njombe FDC mwaka wa masomo 2026 kozi za muda mfupi na muda mrefu. Fomu zimeanza kutolewa karibuni ...
09/08/2025

Nafasi za kujiunga na Njombe FDC mwaka wa masomo 2026 kozi za muda mfupi na muda mrefu. Fomu zimeanza kutolewa karibuni sana. Mawasiliano zaidi fika chuoni nyuma ya NMB BANK tawi la Njombe au piga simu namba 0710022390 au 0753190562 muda kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni

Mafunzo ya uongozi na uchechemuzi kwa watumishi wa FDC, CDO na CBO kupitia mradi wa ESP
12/06/2025

Mafunzo ya uongozi na uchechemuzi kwa watumishi wa FDC, CDO na CBO kupitia mradi wa ESP

Mashindano yamemalizika hapa viwanja vya Nzovwe FDC yakifungwa na mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi ndugu salukele.Nzovwe FD...
07/06/2025

Mashindano yamemalizika hapa viwanja vya Nzovwe FDC yakifungwa na mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi ndugu salukele.
Nzovwe FDC mshindi mpira wa wavulana
Njombe FDC mshindi mpira wa wavulana
Katumba FDC upande wa volleyball
Nzovwe FDC upande wa Netball

Michuano inaendelea viwanja vya Nzovwe FDC
03/06/2025

Michuano inaendelea viwanja vya Nzovwe FDC

Thanks for the Partnership forum 2025
23/05/2025

Thanks for the Partnership forum 2025

Welcome Njombe FDC
17/04/2025

Welcome Njombe FDC

Ujumbe kutoka Njombe FDC 💪💪💪
14/04/2025

Ujumbe kutoka Njombe FDC 💪💪💪

13/04/2025

Njombe FDC Daycare karibuni sana

Karibu Njombe FDC upate mafunzo ya umeme kwa muda mfupi na muda mrefu ngazi ya i, ii na iii
04/04/2025

Karibu Njombe FDC upate mafunzo ya umeme kwa muda mfupi na muda mrefu ngazi ya i, ii na iii

Karibu Njombe FDC Daycare
28/03/2025

Karibu Njombe FDC Daycare

Usikose mada hii
26/03/2025

Usikose mada hii

Address

Njombe
+255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njombe FDC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Njombe FDC:

Shortcuts

Share

Category