Nangwanda Secondary School

Nangwanda Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nangwanda Secondary School, Education, S. L. P 370, Newala.

Shule ya Sekondari Nangwanda ipo Mkoa wa Mtwara katika Wilaya ya Newala.Ni mojawapo ya shule kongwe zilizopo Newala Mjini.Ni shule ya mchanganyiko kwa Kidato cha I-IV na Wasichana pekee kwa kidato cha V-VI.

KARIBUNI KIDATO CHA TANO2020Tuwasiliane kupitiaMkuu-0652108740Makamu-0712957241M/Taaluma 0713504026au tuandikienangwanda...
19/06/2020

KARIBUNI KIDATO CHA TANO
2020
Tuwasiliane kupitia
Mkuu-0652108740
Makamu-0712957241
M/Taaluma 0713504026
au tuandikie
[email protected]
kwa ajili ya MAELEKEZO YA KUJIUNGA

UKUTA WA BERLINUKUTA huu ulianza kujengwa Tarehe 13/08/1961Dhamiri ya UKUTA huu ilikuwa kuwazuia watu kutoka UJERUMANI M...
17/07/2019

UKUTA WA BERLIN
UKUTA huu ulianza kujengwa Tarehe 13/08/1961
Dhamiri ya UKUTA huu ilikuwa kuwazuia watu kutoka UJERUMANI MASHARIKI wasiende UJERUMANI MAGHARIBI.UKUTA huu ulikuwa zao la VITA BARIDI vilivyosababisha KUGAWANYWA KWA UJERUMANI mwaka 1945.HATA hivyo UKUTA huu ulivyunjwa Tarehe 9/11/1989

LIPO tukio moja wakati wa maisha ya ukuta huu
SIKU moja WANAUJAMAA wa UJERUMANI MASHARIKI walitupa takataka upande wa pili wa ukuta zikafika UJERUMANI MAGHARIBI.

JAMBO LA AJABU lilitokea.Watu wa UJERUMANI MAGHARIBI Waliandaa vyakula vikiwemo MIKATE,Nyama za Kopo,Maziwa na mapochopocho mengine na kurusha upande wa pili wa UKUTA.Mapochopocho haya yaliambatana na BANGO lililoandikwa:-

"KILA MMOJA HUTOA ALICHONACHO"

Maneno haya yaliwafadhaisha sana UJERUMANI MASHARIKI na hakika walijiona hawafai katika jamii.

KISA hiki sikukileta ili kuonesha MABEPARI ni wema na WANAUJAMAA ni wabaya la hasha!

Nimekusudia kuzihoji nafsi zetu zimebeba nini?
Kujenga au Kubomoa?
Upendo au chuki?
Amani au Vurugu?

Kupanga ni kuchagua.

FORM 6 GRADUATION 2014
17/07/2019

FORM 6 GRADUATION 2014

ACSEE 2019NANGWANDA GSSI-33II-77III-03 MKOA 4/13 TAIFA 77/594 R
13/07/2019

ACSEE 2019
NANGWANDA GSS
I-33
II-77
III-03 MKOA 4/13 TAIFA 77/594


R

Eid Mubarak
05/06/2019

Eid Mubarak

Karibuni Kidato cha Tano 2019/2020Kwa mawasiliano zaidi tumia0782863901 na0713504026Kupata Joining InstructionsPiga au t...
03/06/2019

Karibuni Kidato cha Tano 2019/2020
Kwa mawasiliano zaidi tumia

0782863901 na
0713504026
Kupata Joining Instructions
Piga au tuma ujumbe kwenye namba 0713504026
Unaweza kutumia whatsapp namba 0713504026
Huduma zote za mawasiliano na Joining instructions ni BURE

Beatrice MarwaHeadMama
03/06/2019

Beatrice Marwa
HeadMama

03/06/2019
30/11/2014

Nawatakia Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2015

TIMU YA USHINDI 2015.
25/07/2014

TIMU YA USHINDI 2015.

KILA LA KHERI timu yetu ya ushindi.
02/05/2014

KILA LA KHERI timu yetu ya ushindi.

USHINDI WA MOCK UENDELEE NA ACSEE 2014Div =09Div=03Nia tunayo,sababu ipo na uwezo pia!Kazeni msuli wadada!
26/02/2014

USHINDI WA MOCK UENDELEE NA ACSEE 2014
Div =09
Div=03

Nia tunayo,sababu ipo na uwezo pia!
Kazeni msuli wadada!

TIMU YA USHINDI ACSEE 2014.

Address

S. L. P 370
Newala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nangwanda Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nangwanda Secondary School:

Shortcuts

Share

Category