cleverland day care

cleverland day care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from cleverland day care, Education, Nala.

Clever land montessori pre&primary school,ni shule iliyopo mnada mpya dodoma.tunawatangazia nafasi za masomo ya awali kw...
04/01/2024

Clever land montessori pre&primary school,ni shule iliyopo mnada mpya dodoma.tunawatangazia nafasi za masomo ya awali kwa madarasa ya baby class,middle na upper classes.Tunapokea watoto kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka miaka mitano.Pia tunapokea wanafunzi wa shule darasa la kwanza na la pili.shule inatumia mtaala wa kingereza [English] kwa masomo yote isipokuwa somo la kiswahili.Tunao walimu wenye uzoefu.Pia tunao usafiri wa uhakika ambapo mwanao atachukulia nakurudishwa mpaka mlangoni kwako.Tunazingatia usalama wa watoto mda wote wawapo shuleni na lishe bora.Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu nne.Nafasi bado zipo na tunawakaribisha ili tuwalee watoto wetu.

25/12/2023
Hallow from our end!!!.new academic  year,learning with love and laughter 😍😍
10/01/2023

Hallow from our end!!!.new academic year,learning with love and laughter 😍😍

Ni muhula mwingine tena tunaunza 2023 kwa malezi na elimu bora kwa watoto wetu.tupo mnada mpya kata ya nkuhungu Dodoma,t...
04/01/2023

Ni muhula mwingine tena tunaunza 2023 kwa malezi na elimu bora kwa watoto wetu.tupo mnada mpya kata ya nkuhungu Dodoma,tunatoa huduma ya malezi na elimu ya awali kwa watoto kuanzia mwaka mmoja mpaka mitano,tunao usfiri wa uhakika na mtoto anachukuliwa mlangoni na kurudishwa.uaslama wa watoto unazingatiwa.kunakuwa ma mtumishi wa k**e kwenye kila route.kwa maelezo zaid tupigie 0744090411.ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu nne.

Address

Nala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cleverland day care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category