Bwiru Boys Technical Sec School. "bbtss"

Bwiru Boys Technical Sec School. "bbtss" BBTSS "Forward ever" Description is loading please wait......!

Mmmmhhhh....
02/07/2022

Mmmmhhhh....

Wajulisheni wenzenu tunaelewana?
31/03/2022

Wajulisheni wenzenu tunaelewana?

Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa amesema TAMISEMI kwa inatoa fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne, mwaka 2021 kubadili machaguo yao ili kutoa mwanya kwa Mwanafunzi kusoma tahasusi (combination) au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu fulani katika maisha yake ya baadaye kwa namna ambayo anatamani yeye mwenyewe au kwa kushauriwa na Wazazi/Walezi wake na kadiri ya ufaulu wake .

"Hii ni kutokana na ukweli kwamba baadhi ya Wanafunxi hawakujaza kwa uhakika combination au kozi zao kutokana na kutokuwa na uhakika wa ufaulu katika masomo yao, Mzazi una nafasi ya kushiriki katika zoezi hili kwa kushauriana na Mtoto wako katika machaguo yake"

"Tafadhali Mzazi kubaliana na Mtoto katika machaguo yake ili baada ya zoezi la uchaguzi pasiwepo malalamiko yoyote ya kwamba Mtoto amepangiwa machaguo ambayo hakuyachagua.

"Zoezi la wanafunzi kubadilisha machaguo yao litafanyika kuanzia tarehe 30/03/2022 hadi tarehe 19/04/2022. Ninasisitiza kuzingatia muda uliotolewa wa kufanya marekebisho ili ratiba ya kuwachagua na kuwapangia shule na vyuo iweze kuendelea vizuri kwa muda uliopangwa

"Wamaopenda kurekebisha machaguo ya combination na kozi kulingana na ufaulu wao katika masomo wanatakiwa kuingia kwenye Mfumo wa Uchaguzi wa Wanafunzi (Student Selection MIS) unaopatikana kupitia kiunganishi cha selform.tamisemi.go.tz, maelekexo ya jinsi ya kufanya mabadiliko watayapata kwenye mfumo kupitia “user manual” pamoja na video ya youtube"

22/12/2021
Ufundi nifaida hd mauti unatengeneza cash!
22/12/2021

Ufundi nifaida hd mauti unatengeneza cash!

BBTSS kwa Pomona tunasema R.I.P member wa BBTSS. ..TUTAKUKUMBUKA kijana mnyenyekevu 4m4/2014Daaaaahhhh....poleni pia wan...
05/12/2021

BBTSS kwa Pomona tunasema R.I.P member wa BBTSS. ..TUTAKUKUMBUKA kijana mnyenyekevu 4m4/2014
Daaaaahhhh....poleni pia wanafunzi wote kwa wakati mhimu k**a huu!

Tunawatakia mtihani mwm 4m4 wetu 2021Mungu awaongoze....AMIN.!
16/11/2021

Tunawatakia mtihani mwm 4m4 wetu 2021
Mungu awaongoze....AMIN.!

Kijana wetu...vice BBTSS 2013-2014 Tumepata taarifa kua ametangulia mbele ya haki tutakukumbuka xn wana BBTSS wote...Leo...
05/11/2021

Kijana wetu...vice BBTSS 2013-2014 Tumepata taarifa kua ametangulia mbele ya haki tutakukumbuka xn wana BBTSS wote...
Leo kwa pamoja tunase Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lipewe sifa...kila mtu naaseme Amina!!!...

Tukumbushane hapa
01/11/2021

Tukumbushane hapa

Address

Bwiru
Mwanza
0719803598

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bwiru Boys Technical Sec School. "bbtss" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category