05/05/2026
Mnunulie mtoto ππ©·
Radio janja ya kisasa kwa ajili ya watoto wa miaka 3-14 ya Kujifunzia hesabu na masomo mengine kwa games, music na stories.
Ndugu mzazi/ Mlezi Mlinde mtoto wako dhidi ya addiction ya Smarphone pamoja na TV.!!
Wanunulie watoto ChemCheemi, itawapa vitu vya kielimu mahususi kwa ajili yao, ikiwemo hadithi za kusisimua, nyimbo za kuvutia, na mazoezi muhimu ya hisabati kwa njia ya games. Kwa kutumia ChemCheemi, watoto wako watajifunza kwa njia ya kucheza na kufurahia huku ukiwakinga dhidi ya madhara yatokanayo na addiction ya simu au TV.
FAIDA ZA CHEMCHEEMI:
β’ Inawasaidia watoto kujifunza lugha, hisabati, sayansi na maarifa mengine muhimu bila internet.
β’ Inaboresha uwezo wa kusikiliza, kufocus na kuelewa.
β’ Inamuepusha mtoto na addiction ya smartphone na TV
Usisubiri! Mnunulie mtoto wako ChemCheemi leo na uone tofauti kubwa katika kujifunza na kukua kwake.!!!!πππ©·
Karibu sana , WEKA ORDER YAKO SASA!