Kamaru issack karonkano

Kamaru issack karonkano Bloger

07/02/2017

How to become a world changer 1.have the great dreams 2.respect to any one 3.self confidence

10/09/2016

Daima kufanikiwa maishani kunahitaji uwepo mambo muhimu ambayo n kutokata tamaa daima kwa aina yoyote ya kikwazo, kuwa na juhudi katika kile unachokitafta, kuweka malengo, kutomdharau yeyote ukiamin kuwa yeyote anaweza kuwa msaada wako, kujituma na kuwa na adabu

25/08/2016

Sasa Kamaru wa sasa ni zaidi ya dada ake, kwan hata mazingira yanayozunguka shule yake kayateka, kila wanaomuona hufurahika. Ewe MWENYEZI endeleza kipaji changu.

25/08/2016

Ilikuwa siku ya juma mosi ambapo tayari nimeshajiunga na kidato cha tano NYAKATO BOYS HIGH SCHOOL, ambapo nilipangwa kutunga na kusoma shairi nikiwawakilisha kidato cha tano wote, pia alipangwa mwanafunzi mwingne kwa upande wa kuwawakilisha kidato cha sita.Ilikuwa ni sherehe ya kuwaaga kidato cha sita.Wakiwemo wazazi wa wanafunz, wageni kutoka sehemu mbalimbali, walimu wa mashle jiran na wanafunzi kutoka shule zaidi ya tano, walikuwa wamehudhuria sherehe hiyo. Siku hiyo ilikuwa ni historia mpya kwangu, kwan hata wanafunzi wenzangu walitokea k**a mtu mgeni kwao. Shairi nililotunga na kulisoma lilikuwa na ufundi hadi nikabadilishwa jina na kuitwa JIBABA. Maneno nloyapanga kiumahiri yalifanya ukumbi wote usisimke hadi mgeni rasmi akaniomba lile shair aondoke nalo. Mabinti k**a 30 na zaidi jwa muda tofaut, walkuwa wakiomba namba za simu. Hakika nami pia nilijiogopa na kuhisi kuwa kumbe nina deni kubwa la shukran kwa muuba wang.

25/08/2016

Baada ya dada angu kipenzi {HABIBATH} kuolewa nilitaman kuendeleza kipaji changu cha kutunga mashairi hata kuyasoma kwani hata saut ya kuyasoma maashaallah nnayo. Nilianza kupoteza muda wang wa usiku katika kutunga mashairi kulingana na wakati na matukio katka kijidaftar changu bila kutarajia ntayasoma lin na wapi.Mfano wa mashairi nilyotnga ni WAPI KIJANA UNAELEKEA, KULALAMIKA SIO SULUHISHO, NAKUFA BILA KUSAMEHEWA, TUFE WOTE, WIVU na mengneyo. Sikukata tamaa ya kutunga kwan yalikuwa ni kiliwazo changu, baba alinihimiza sana kutunga kwan siwez jua kitu gan kitakuwa msaada wangu mbeleni.

25/08/2016

Kutokana na sifa alizopata dada angu wakati alipoimba shairi nilomtungia kwenye sherehe ya shule 2012, mwaka huohuo nilichaguliwa mimi na yeye kuwakilisha shule yetu kiwilaya, katika kuhimiza uhusiano mwema baina ya wanajamii wenye dini tofauti.Huko tulipongezwa sana, kutokana na kwamba shairi letu liliandaliwa ndani ya siku moja lakin lilivutia kuliko mashair mengne hata ya wana chuo. Jambo hili lilifanya dada afahamike sana had kila harus ilofanyika watu wote walitaman awepo dada angu. Nilimtungia mashairi meng ambayo yalimfanya ajizolee sifa za kutosha.

25/08/2016

Uwezo wangu wa kutunga mashairi niliutambua pale dada angu{HABIBA} aliponiandikia maneno na kunitaka niyapange mithili ya mashairi. Nilitumia muda mrefu kuyapangilia lakin hatimaye nilifanikisha lengo lake, kwani kesho yake alitakiwa aimbe shairi hilo kwa sherehe ya kuwaaga kidato cha nne mwaka 2012 nikiwa kidato cha pili.Dada alifunika sana katika sherehe hiyo na kujizolea sifa kedekede.NAMSHUKURU DADA KWA KUTAMBUA UMUHIMU WANGU KWAKE.

22/04/2016

Ukitaka kufanikiwa maishan, epuka mambo matatu; 1.kula sana 2.kusinzia sana 3.kuongea sana

25/10/2015

Sote twapaswa kuumgana dini, makabila,vyama kwa pamoja kuiombea nchi yetu. tumalize vyema mchakato mzma kwa wema

13/07/2015

Karibun sana wapendwa tuwe wote katika kuisherehekea sikukuu ya IDD EL FITR

30/06/2015

Ama hakika ni lazima ki5a mtu, kujipima kwa kujiuliza kuwa, hiv nimerehemewa katija kumi la REHEMA?

19/06/2015

Mambo manne ni muhimu sana kwa anayefunga RAMADHAN 1.Kukithirisha dua. 2.kukithirisha ibaada. 3. Kusoma qur'an 4. Kuacha maovu

Address

Nyakato Boys-bukoba
Mwanza
NYAMAGANA

Telephone

0743541328

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamaru issack karonkano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category