03/06/2025
MaryB Institute of Health and Allied Sciences (MaIHAS) ni taasisi iliyosajiliwa rasmi chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (REG/HAS/268P), inayotoa mafunzo bora kwa wanafamasia wa kesho.
Hapa tutakupa taarifa zote muhimu kuhusu usahili, matangazo, na maisha ya hapa chuoni. Tunakaribisha mawazo yako.
Karibu sana kwenye familia ya MaryB — safari yako ya mafanikio inaanza hapa!