Bwiru Boys Technical Secondary School Mwanza, Tanzania

Bwiru Boys Technical Secondary School  Mwanza, Tanzania This is an Alumni page for Bwiru Boys Technical Secondary School: Where brilliance is engineered, discipline is a lifestyle, and leaders are made—not born.

Educational and Technical School

Saa tisa vijana wako prep najua ingekuwa shule zingine saa hivi vichwa vya habari vingesoma kushoto😁
02/07/2022

Saa tisa vijana wako prep najua ingekuwa shule zingine saa hivi vichwa vya habari vingesoma kushoto😁

since its TBT
27/01/2022

since its TBT

...Tupate tangazo kutoka kwa wadhamin😉
06/03/2021

...Tupate tangazo kutoka kwa wadhamin😉

02/02/2021
You will be remembered!!
01/02/2021

You will be remembered!!

Wanafunzi wakiwa katika Makumbusho ya Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere katika kijiji cha Butiama.
13/12/2020

Wanafunzi wakiwa katika Makumbusho ya Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere katika kijiji cha Butiama.

Moja wapo ya kuwafanya wanafunzi wachangamke kiakili ni kuwapeleka katika maeneo mbali mbali ambayo yatawafanya wachanga...
13/12/2020

Moja wapo ya kuwafanya wanafunzi wachangamke kiakili ni kuwapeleka katika maeneo mbali mbali ambayo yatawafanya wachangamke na kujifunza mambo mapya ukiachilia mbali ya kitaaluma. Hii inaitwa Mind refreshment, ambapo wanafunzi walipata kutembelea mbuga ya wanyama pori ya Serengeti.

Wanafunzi wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kijiji cha Butiama.
13/12/2020

Wanafunzi wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kijiji cha Butiama.

Wanafunzi katika utalii wa ndani (Tour)
13/12/2020

Wanafunzi katika utalii wa ndani (Tour)

Vijana wakijisomea katika moja wapo ya madarasa yanayopatikana shuleni, vijana wenyewe wanaita "Kupiga msuli" au "kuguga...
13/12/2020

Vijana wakijisomea katika moja wapo ya madarasa yanayopatikana shuleni, vijana wenyewe wanaita "Kupiga msuli" au "kuguga"

Kijana akifurahia muda pendwa wa mahakuli.
13/12/2020

Kijana akifurahia muda pendwa wa mahakuli.

Muda wa Chakula ndio ulikua kipaumbele kwa wanafunzi, maana bila chakula masomo hayawezi kwenda.
13/12/2020

Muda wa Chakula ndio ulikua kipaumbele kwa wanafunzi, maana bila chakula masomo hayawezi kwenda.

Address

Mwanza
33000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255752225110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bwiru Boys Technical Secondary School Mwanza, Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bwiru Boys Technical Secondary School Mwanza, Tanzania:

Shortcuts

Share