Jema Institute of Technology

Jema Institute of Technology Jema Institute of Technology(JIT) is a new initiative that seeks to provide Tanzania Community with

28/05/2026

Mmoja kati ya Mamia ya wahitimu wetu anaweka wazi namna ambavyo Chuo Cha JEMA kimefanya leo anamiliki site zaidi ya Tatu huku kote akitumika k**a mkemia.

Jiunge na Chuo kwa dirisha la mwezi wa Tisa

18/05/2026

๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐‹๐ฎ๐›๐ฎ๐ฆ๐›๐š๐ฌ๐ก๐ข ๐ก๐š๐๐ข ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉโžก๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

16/05/2026

Wanafunzi wetu wa kozi ya TEHAMA (ICT) waliopata nafasi ya kufanya Mafunzo ya Vitendo (Field Studies) katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameendelea kungโ€™ara kwa kupata uzoefu wa kazi na kuongeza uwezo wao katika sekta ya teknolojia.

Kupitia ushuhuda wao, wameeleza namna mafunzo hayo yalivyowajengea kujiamini, maarifa na ujuzi wa kufanya kazi katika mazingira halisi ya kitaaluma.

Aidha, Asnath anawakumbusha wanawake kuwa katika dunia ya sasa hakuna kazi inayomshinda mwanamke na kuwahamasisha kujiunga na kozi za ICT pamoja na Madini ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikionekana ni za wanaume pekee.

Jiunge na Chuo cha JEMA kupitia dirisha la udahili la mwezi wa 9 sasa.

06/05/2026

Wanafunzi wetu upande wa madini wakiwa katika maeneo yao ya Field wametuelezea yale wanayojifunza na kuwapa matumaini juu ya kesho yao

Jiunge sasa na kozi zetu za Madini na ICT kuanzia Certificate hadi Diploma

Wanafunzi wetu wa kozi ya Madini wakiwa katika mafunzo yao ya vitendo (Field Studies) katika ofisi za JEMA Africa Elutio...
03/05/2026

Wanafunzi wetu wa kozi ya Madini wakiwa katika mafunzo yao ya vitendo (Field Studies) katika ofisi za JEMA Africa Elution.

Hii inaonesha namna Chuo chetu kwa kushirikiana na JEMA Africa Tulivyo mstari wa mbele katika kuwajenga kielimu na kuwapa ujuzi halisi wa kazi.

Jiunge na Chuo Cha JEMA kwa kozi za Uchenjiaji wa madini na Tehama.

01/05/2026

Karibu tena Mhe. Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) (), Bi. Bernadetta Ndunguru.

Sisi JEMA Institute of Technology tunaahidi kuendelea kutekeleza kikamilifu matakwa ya mfumo wa CBET (Competence Based Education and Training), na kuendelea kuzalisha wataalamu wenye ujuzi wa vitendo watakaoweza kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya Madini na Teknolojia.

Aidha, tumepokea kwa shukrani pongezi zako kwa kutambua namna chuo chetu kinavyozingatia kwa umakini taratibu, miongozo na viwango vinavyowekwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ().

01/05/2026

๐‚๐ž๐ฅ๐ž๐›๐ซ๐š๐ญ๐ข๐ง๐  ๐ฐ๐จ๐ซ๐ค๐ž๐ซ๐ฌ. ๐๐ฎ๐ข๐ฅ๐๐ข๐ง๐  ๐ฌ๐ค๐ข๐ฅ๐ฅ๐ฌ. ๐’๐ก๐š๐ฉ๐ข๐ง๐  ๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ซ๐ž๐ฌ.

๐‡๐š๐ฉ๐ฉ๐ฒ ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ง๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐‹๐š๐›๐จ๐ซ ๐ƒ๐š๐ฒ.
https://jit.ac.tz/

Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mkopo kwa stashahada (March intake) 2025/2026 yasogezwa mbele na bodi ya mikopo ya...
19/03/2026

Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mkopo kwa stashahada (March intake) 2025/2026 yasogezwa mbele na bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Endelea kuwasilisha maombi ya mkopo kwa kozi ya Uchenjuaji wa madini (Mineral Processing)

Kwa msaada zaidi Tupigie 0718 801 122

๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ต ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—›๐—ฒ๐—ฟ๐—ฒ!Step into the future with our Certificate & Diploma in Information and Communication Technology (IC...
16/02/2026

๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ต ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—›๐—ฒ๐—ฟ๐—ฒ!

Step into the future with our Certificate & Diploma in Information and Communication Technology (ICT) at JEMA Institute of Technology. Gain practical digital skills, hands-on programming experience, and a strong foundation in Artificial Intelligence and modern internet technologies.

March 2026 Intake Ongoing
๐‚๐ž๐ซ๐ญ๐ข๐Ÿ๐ข๐œ๐š๐ญ๐ž: ๐Ÿ ๐˜๐ž๐š๐ซ | ๐ƒ๐ข๐ฉ๐ฅ๐จ๐ฆ๐š: ๐Ÿ ๐˜๐ž๐š๐ซ๐ฌ
๐Ÿ“ ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š, ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š

Secure your spot today and build the tech career youโ€™ve been dreaming of. Register now!

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

+255677289199

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jema Institute of Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Jema Institute of Technology:

Shortcuts

Share

Category