Tanzania Medical Students

Tanzania Medical Students pre medical and medical personel, communal health society ��

18/12/2020

Comment openess

Hedhi(Mp), ni jambo la fisiolojia(kawaida) ambalo hutokea kwa wanawake wote wenye Rika la kuzaa(reproductive age), Hedhi...
10/12/2020

Hedhi(Mp), ni jambo la fisiolojia(kawaida) ambalo hutokea kwa wanawake wote wenye Rika la kuzaa(reproductive age),

Hedhi haiwezi kutolea kwa mjamzito, wanawake waliokfunga kizazi,wanawake amabao hawapo katika umri wa kuzaa, baadhi ya wanawake amabao wanatumia njia za uzazi wa mpango,pamoja na baadhi ya magonjwa ya akina mama.

Kuna utofauti mkubwa Kati ya mzungukowa hedhi na mtiririko wa siku za hedhi, mzunguko wa hedhi(menstrual cycle) huu ni siku za mzunguko mpaka kuja kuona hedhi nyingine, ambayo hii hutofautiana Kati ya mtu na mtu wengine inachukua siku 27(mfupi) 28(kawaida) >29 (mrefu). Mtiririko wa siku za hedhi hizi ni siku ambazo mwanamke ankuwa kene hedhi inawekuchukua siku3,4,5,6, na wengine 7 hii ni kawaida

Kisayansi hedhi ya kawaida(normal menstrual period), huelezewa K**a ifuatavyo

Mwanamke akiwa kene hedhi 1-6(siku za damu) kujibomoa kwa ukuta wa mji wa uzazi(uterus) hivyo mwanamke huona damu kwa sababu ya kuchunika kwa ukuta huo

Siku ya 7-10, ukuta uliojimomonyoa huanza kujitengeneza kwa ajili ya maandalizi ya mwezi mwingine, wakati huu mimba haiwezi kutungwa

Siku ya 11-18, ni wakati ambao ukuta huu unakuwa umepima, na umerudi katika Hali yake ya kawaida, na huu ni wasaa ambapo yai la mwanamke linakuwa limekomaa tayari kusubiri litolewe kwa ajili ya kururubishwa na mbegu ya kiume......muda huu ndo mimba hutungwa

Siku ya 19 nakuendelaea, K**a yai halikurutubishwa ukuta huu huanza maandalizi ya kuchunika au kumomontoka ili kujiandaa na urutubishwaji mwingine.....ikitoke yai hili likarutubishwa hivyo mwanamke huyu hataona hedhi mwezi unaokuja
.K.leon
#
#
semba
tools

Kiarusi(CVA, stroke),......ni changamoto inayosababishwa na changamoto katika mishipa ya damu kene ubongo, ikiwemo      ...
07/12/2020

Kiarusi(CVA, stroke),......ni changamoto inayosababishwa na changamoto katika mishipa ya damu kene ubongo, ikiwemo
1.kuotakwa mafuta ndani ya mishipa ya damu( cholesterol),
2. Kuziba kwa mishipa ya damu ndani ya ubongo(blood clots and faty)
4.kupasuka kwa mishipa ya damu ndani ya ubongo kutokana na shikizo la damu (hypertension)

Kiarusi hupelekea kupooza kwa miguu au mikono na lakini pia kwenda upande kwa nyamabza mdomo(lips)

MATIBABU
1.kutibu shinikizobla damu
2.kutoa dawa za kuondosha mafuta
3 kutoa dawa zinazoyeyusha damu iliyognandia ndani ya mishipa ya ubongo
4.kufanya mazoez kulingana na Hali ya mgonjwa
5. Kuongezewa maji
6.kama mgonjwa hata uwezo wa kumeza, alishwe kupitia mipira ya chakula......matibabu mengine yanaweza fanyika kulingana na changamoto itakayojitokeza

Leon FK

29/06/2020

A 28yrs old women prime gravida with the complain of acute lower abd pain radiating to the extrimity, hx of slight pv bleeding, O/e pale, tenderness per abd, Bp 90/80mmhg.describe the mgnx of this pt at dispensary level

24/02/2018

What i likely DX??

Types of haedache
24/02/2018

Types of haedache

Let us learn about UTI
21/02/2018

Let us learn about UTI

Address

Mwanza
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Medical Students posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tanzania Medical Students:

Shortcuts

Share

Category