Mwanza General College

Mwanza General College Tunatoa kozi zifuatazo kwa wahitimu wa darasa la 7 na kidato cha nne:

-Business Operations
-Tour Guide

Tunauza Aluminium frame na vioo, desktop computer na meza zake pamoja na madawati. Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwenye ...
09/06/2025

Tunauza Aluminium frame na vioo, desktop computer na meza zake pamoja na madawati. Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwenye namba 0715513199

Tunauza partition za Aluminum na vioo vyake kwa Bei poa. Ofisi inafungwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwenye namba hii 0...
20/05/2025

Tunauza partition za Aluminum na vioo vyake kwa Bei poa. Ofisi inafungwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwenye namba hii 0715513199

Tunauza computer, madawati, meza na vifaa vinginevyo kwa ajili ya matumizi ya shule na vyuo. Kwa taarifa zaidi wasiliana...
13/05/2025

Tunauza computer, madawati, meza na vifaa vinginevyo kwa ajili ya matumizi ya shule na vyuo. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwenye namba hii 0715513199

05/04/2025
Tangazo la Ajira k**a MenejaTunahitaji mtu mwenye Diploma au Degree upande wa Hotel au Tourism. Ukiwa na uzoefu wa angal...
21/03/2025

Tangazo la Ajira k**a Meneja
Tunahitaji mtu mwenye Diploma au Degree upande wa Hotel au Tourism. Ukiwa na uzoefu wa angalau miaka miwili ni Bora zaidi. Lugha ya Kingereza ni muhimu.

We are looking for Manager with Diploma or Degree in Hotel or Tourism. If you have experience of at least two years will be a plus point. English language very important.

Naomba usitume msg kwenye FB tuwasiliane kwa simu au WhatsApp.

Kindly don't msg on FB contact us via phone or WhatsApp.

Contact 0715513199.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI1. Mwalimu wa Computer/ICT2. Mwalimu wa AccountsMwombaji awe na Diploma au Degree. Awe mkazi wa...
11/02/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
1. Mwalimu wa Computer/ICT
2. Mwalimu wa Accounts
Mwombaji awe na Diploma au Degree. Awe mkazi wa Mwanza. Usitume Maombi fika Chuoni na Vyeti vyako.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Manager 0715513199.
Tunapatikana Mtaa wa Rufiji karibu na msikiti wa Sheikh Amin kona ya Mviringo Mwanza mjini.

Kozi ya miezi miwili (2) mwanafunzi atasoma Introduction to Computers, Ms Windows, Mavis Typing, Ms Power point, Ms Publ...
29/10/2024

Kozi ya miezi miwili (2) mwanafunzi atasoma Introduction to Computers, Ms Windows, Mavis Typing, Ms Power point, Ms Publisher na Ms Word.Kozi ya miezi miwili (2) mwanafunzi atasoma Introduction to Computers, Ms Windows, Mavis Typing, Ms Power point, Ms Publisher na Ms Word.

Address

Rufiji
Mwanza
33101

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 12:00

Telephone

+255755288128

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza General College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mwanza General College:

Shortcuts

Share

Category