Ccm cbe sokoine mwanza campus

Ccm cbe sokoine mwanza campus chama chama pinduzi tawi la cbe sokoine mwanza campus,siasa,midaharo,maoni,elimu,burudani na mengineyo

katibu wa wilaya nyamagana ndg ELIAS MPANDA na mwenyekiti wa tawi la cbe ADDONAI na katibu wake SELEMANI BARUANI
10/03/2015

katibu wa wilaya nyamagana ndg ELIAS MPANDA na mwenyekiti wa tawi la cbe ADDONAI na katibu wake SELEMANI BARUANI

kongamano la mkoa wa vyuo vikuu mwanza na ndg katibu mkuu ngubiagai na viongozi wa wilaya ya nyamagana na ilemela
25/02/2015

kongamano la mkoa wa vyuo vikuu mwanza na ndg katibu mkuu ngubiagai na viongozi wa wilaya ya nyamagana na ilemela

19/09/2014

kidumu chama cha mapindunzi,ndugu mjumbe unaombwa kuhudhuria sherehe ya kumsimika kamanda umoja wa vijana kata ya nyamagana itakayofanyika trh 21/09/2014 saa 8 mchana cku ya jpili ktk ukumbi wa ghandi hall,ivyo ww km kada wa cbe 2naomb 2kutane kemondo saa 7 mchana,wk k/tawi cbe ccm oyeeeee...wataweza?

Kidumu chama cha mapinduzi, tawi la ccm sokoine CBE,kwaniaba ya wanachuo wote wa chuo cha biashara(cbe)mwanza campus,tun...
14/06/2014

Kidumu chama cha mapinduzi, tawi la ccm sokoine CBE,kwaniaba ya wanachuo wote wa chuo cha biashara(cbe)mwanza campus,tunatoa shukrani zetu za dhati kwa ndugu,DEOGRATIAS RUTTA,aliekuwa katibu wa wilaya ya nyamagana kwakuweza kuteuliwa na kuwa katibu wa mkoa wa kilimanjaro.umetuonesha njia, umetulea,kutufunza pia kutupa ushirikiano mbalimbali katika kujenga na kuimarisha chama chetu cha CCM chuoni kwetu,kwapamoja tunasema asante sana, na mungu akubariki huko uendako vivaa ccm

13/06/2014
Siku ya uzinduzi wa tawi la sokoine cbe mwanza na wanachama wapya 150
04/06/2014

Siku ya uzinduzi wa tawi la sokoine cbe mwanza na wanachama wapya 150

uzinduzi wa tawi la ccm sokoine cbe mwanza
04/06/2014

uzinduzi wa tawi la ccm sokoine cbe mwanza

Address

Emmylamodal
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ccm cbe sokoine mwanza campus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category