Kamusi Ya Kitaa

Kamusi Ya Kitaa Karibu tuelimishane lugha. Lugha ni chombo kikuu cha mawasiliano katika jamii yoyote. TAFADHALI ALIKA NA WENGINE WAPENDE UKURASA HUU.

Lakini katika Kizazi hiki kipya lugha yetu inaendelea kuongezeka misemo na maneno mengine mapya kila siku yakitofautiana maana na matumizi kutoka watu wa sehemu moja na nyingine na kuleta kutokuelewana kwa usahihi na huku tukipoteza kabisa baadhi ya maneno ya Kiswahili fasaha. Hivyo basi, kwa kutambua hilo, tumeona tuwaletee ukurasa huu wa Kamusi Ya Kitaa kwa lengo la kutuunganisha pamoja tukifund

ishana na kukumbushana maana na matumizi sahihi ya lugha yetu ya Kiswahili. Karibu ujumuike nasi kwa ku-share maneno yoyote mapya au ya zamani ambayo ungedhani ingefaa na wengine wayajue.

12/06/2026

Tarans Investmentsltd Tarans Investmentsltd

12/06/2026

I had to see the machine work to fully comprehend that I am a better version.

02/06/2026

Nasikia ni ngumu sana kumshauri mdau anaekaribia kutapeliwa.

24/05/2026

Unajua siwezi mbishia mwanamke yuko na rangi mbili. Maana hata rangi yake ameibishia sasa mimi ni nani? 😁

24/05/2026

KASONGO alisikia wezi huchomwa kwa mafuta akaongeza bei. #254

23/05/2026

"For to be wise and love exceeds man's might."

-- W***Y (Troilus & Cressida)

23/05/2026

"Don't reject his hospitality, but don't lose your dignity"

23/05/2026

"If you want to get rich in this country, you have to get rich in the dark."

--- MARIO PUZO.

23/05/2026

"Nobody is your friend,
Nobody is your enemy.
Everybody is your teacher. Learn to love in a way that no matter what happens, the people you loved will always remember their time with you as a blessing."

Address

Kishiri
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255684456623

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamusi Ya Kitaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kamusi Ya Kitaa:

Shortcuts

Share