Mwalimu wa Kiingereza

Mwalimu wa Kiingereza Mwalim Michael hapa ni mahali sahihi PA kujifunza kiingereza na Michael. nimekuwa nikifundisha kiingereza toka mwaka 2012 k**a mtaalamu wa lugha hii

KUJIUNGA karibu WhatsApp 0612817681Naitwa Mwalimu Michael Nafundisha kiingereza hapa Mtandaoni
19/01/2024

KUJIUNGA karibu WhatsApp 0612817681

Naitwa Mwalimu Michael Nafundisha kiingereza hapa Mtandaoni

Jifunze Kiingereza 0612817681Naitwa Mwalimu Michael Karibu Nikufundishe kiingereza hapa Mtandaoni.Kuna watu Bado hawajaj...
18/01/2024

Jifunze Kiingereza 0612817681

Naitwa Mwalimu Michael Karibu Nikufundishe kiingereza hapa Mtandaoni.

Kuna watu Bado hawajajua nguvu ya teknolojia. KARIBU UJIFUNZE KIINGEREZA ukiwa popote hapa Tanzania au popote pale Duniani.

Mwaka 2024 iwe ni mwaka wako Wa kujua lugha ya kiingereza na kujiboresha katika taaluma Yako.

Unaweza Wasiliana nami Kwa WhatsApp number 0612817681

Memories! Kiingereza kinaweza kisiwe ni kila kitu. Ila unaweza ukapa kila kitu Kwa kiingereza.
11/01/2024

Memories!

Kiingereza kinaweza kisiwe ni kila kitu. Ila unaweza ukapa kila kitu Kwa kiingereza.

Naitwa Mwalimu Michael na nakukaribisha UJIFUNZE KIINGEREZA!WhatsApp 0612817681
06/01/2024

Naitwa Mwalimu Michael na nakukaribisha UJIFUNZE KIINGEREZA!
WhatsApp 0612817681

KIINGEREZA KISIWE TATIZO LAKO MWAKA HUU 2024WhatsApp 0612817681Mwalimu Michael
05/01/2024

KIINGEREZA KISIWE TATIZO LAKO MWAKA HUU 2024

WhatsApp 0612817681
Mwalimu Michael

Hii ilikuwa 2014 nikiwa na sehemu Ya Wafanyakazi wenzangu!Karibu Nikufundishe kiingereza na milango ya kimataifa ifunguk...
30/12/2023

Hii ilikuwa 2014 nikiwa na sehemu Ya Wafanyakazi wenzangu!

Karibu Nikufundishe kiingereza na milango ya kimataifa ifunguke.

WhatsApp 0612817681

Mwalimu Michael

KARIBU NIKUFUNDISHE KIINGEREZAWhatsApp 0612817681K**a unataka kuboresha kiingereza chako Nina VIFURUSHI VITATU kuanzia m...
29/12/2023

KARIBU NIKUFUNDISHE KIINGEREZA
WhatsApp 0612817681

K**a unataka kuboresha kiingereza chako Nina VIFURUSHI VITATU kuanzia mwaka 2024 tukifikishwa salama.

1: ONE on ONE (25 minutes)
2: Real Time Online Learning (1 hour)
3: Recorded Lessons

Sasa nimewarahisishia zaidi! Unaweza kujifunza katika Hali yoyote uliyonayo. Nafundisha kiingereza Kwa:

1:Walimu
2: Wanachuo
3: Wafanya biashara
4: Wasafiri
5: Wafanyakazi kazi aina yoyote

Hata k**a ndio unataka uanze kujifunza kiingereza Kwa mara ya kwanza. Nitakufundisha Kwa siku 90 utaanza kuona mabadiliko makubwa sana.

Kozi zinaanzia siku 90 na kuendelea kutegemeana na malengo Yako ya kujifunza kiingereza.

Karibuni niwafundishe kiingereza na kiwafungulie Dunia.

Asanteni

LEO NDIO DARASA LA KIINGEREZA CHA KUONGEA LINAANZA!WhatsApp 0612817681Mwalimu Michael
26/12/2023

LEO NDIO DARASA LA KIINGEREZA CHA KUONGEA LINAANZA!

WhatsApp 0612817681
Mwalimu Michael

KESHO NDIO MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI YA KOZI YA KIINGEREZA CHA KUONGEA.Wasiliana nami Kwa WhatsApp 0612817681
21/12/2023

KESHO NDIO MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI YA KOZI YA KIINGEREZA CHA KUONGEA.

Wasiliana nami Kwa WhatsApp 0612817681

BADO SIKU NNE TU OFA IFUNGWE!WhatsApp 0612817681JISAJILI KUJIFUNZA KIINGEREZA CHA KUONGEA
19/12/2023

BADO SIKU NNE TU OFA IFUNGWE!
WhatsApp 0612817681

JISAJILI KUJIFUNZA KIINGEREZA CHA KUONGEA

KOZI YA KIINGEREZA CHA KUONGEAK**a wewe kwako shida kubwa IPO kwenye  kiingereza Cha kuongea. Sasa nimekuandalia kozi FU...
15/12/2023

KOZI YA KIINGEREZA CHA KUONGEA

K**a wewe kwako shida kubwa IPO kwenye kiingereza Cha kuongea. Sasa nimekuandalia kozi FUPI ya kukusaidia kujua jinsi ya kuumba matamshi ya kiingereza Kiufasaha na kukuongezea kujiamini .

KOZI hii ni ya muhimu sana kuweza kukufikisha katika viwango vya juu vya kuijua lugha ya kiingereza.

K**a zawadi ya kuuaga mwaka 2023. Nitakufundisha Kwa OFA.

Mafunzo yataanza tarehe 26 mwezi huu wa 12 Hadi tarehe 31 . Nafasi ni chache , kupata nafasi Wasiliana nami kwenye WhatsApp

WhatsApp 0612817681

BONYA KUJIFUNZA KIINGEREZA 👇
12/12/2023

BONYA KUJIFUNZA KIINGEREZA 👇

WhatsApp Group Invite

Address

Buzuruga
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766019420

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu wa Kiingereza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mwalimu wa Kiingereza:

Shortcuts

Share

Category