Lake Driving School Mwanza

Lake Driving School Mwanza

Comments

Mambo Ukopowa
Ukisoma basic driving unatakiwa kukaa muda gani ili kusoma PSV?
Course ya Basic driving pia ipo?
MNGEKUWA MNAWEKA BEI YA ADA NA MUDA ILI WAHITAJI WAELEWE.
USIZARA USIEMJUWA
Tunatk matokTunatk matokeo
god is security the my heart
venture

Lake driving school ni shure inayotoa mafunzo ya udereva mkoani Mwanza na maeneo Yote ya kanda ya ziwa ,huduma zetu ni nzuri sana n tunafanya kazi 24/7.

Operating as usual

12/08/2021

*KWA NINI DEREVA ANAADHIBIWA KWA UBOVU WA GARI?*
Ubovu wa gari huonekana sio kosa la dereva bali la mmiliki aliyeshindwa kulitengeneza gari lake. Na baadhi ya madereva huona k**a wanaonewa kuadhibiwa kwa gari bovu. Je, wapo sahihi?

Kiukweli hawako sahihi? Dereva anaadhibiwa sio kwa kushindwa kulitengeneza gari la hasha, bali anaadhibiwa kwa *Kukubali kuendesha gari bovu*
Katika sheria ya usalama barabarani, kwenye ubovu wa gari kuna makosa yafuatayo
1. *Kushindwa kulifanyia matengenezo gari. (Kif.39(6)(b)*
Hili ni kosa la mmiliki au msimamizi wa gari, k**a vile Meneja au Ofisa operesheni wa kampuni/gari husika.

2. *Kuruhusu gari bovu kuendeshwa barabarani. (Kif. 39(6)(a).*
Hili pia ni kosa la mmiliki au msimamizi wa gari. Lakini pia linaweza kuwa kosa la dereva, kwani kifungu hichi kinatumia maneno *causes or permits* yaani kusababisha au kuruhusu. Kwa hiyo inawezekana mmiliki asiwe ameruhusu gari kutumika, ila dereva kwa sababu zake mwenyewe akawa amesababisha gari kutumika kwa kuliendesha.

3. *Kuendesha gari bovu barabarani (Kif.39(5)*
Hili ni kosa la dereva bila kupepesa macho. Hapo sheria inasema *any person who uses on a road a motor vehicle or trailer in contravention of the provisions of subsections (1), (2) or (3) shall be guilty of an offence*. Kwa hiyo anayekutwa na askari barabarani akiendesha gari ni wewe dereva, na ndio maana unaadhibiwa. Unaadhibiwa sio kwa kushindwa kutengeneza gari bali kwa kukubali kuendesha gari bovu barabarani kinyume na kifungu cha 39(1) cha sheria ya usalama barabarani.

Ni imani yangu sasa utakuwa umeelewa ni kwa namna gani kosa la ubovu wa gari ni la dereva lakini pia ni la mmiliki.

11/08/2021

*JINSI YA KUJIFUNZA UDEREVA WA MAGARI*

CLUTCH ; Kazi yake ni kuondoa gari na kutenganisha Engine na Gearbox.
BRAKE ; Kazi yake ni kupunguza mwendo na kusimamisha gari
ACCELERATOR; Kazi yake ni kuongeza mwendo kasi wa gari na muungurumo na inapoachiwa kidogo mwendo hupungua, inaongeza kasi ya uchomaji wa mafuta.
Ni Muhimu Kukumbuka kuwa Unapotaka kusimama unatakiwa kukanyaga Clutch na Brake kwa pamoja ili gari lisizime linaposimama.
Kazi ya gea namba moja Ni kuondoa gari na kupanda mlima mkali na wakati wa kuteremka mlima mkali
Kazi ya gea namba mbili Ni kuifanya gari kuwa nyepesi zaidi na kuongeza mwendo
Kazi ya gea namba tatu na nne Ni kufanya gari kuendelea kuwa jepesi zaidi na kuongeza mwendo

Namna ya kupanga gea kutoka gea nzito kwenda gea nyepesi;
Kutoka 0-10 kph Gea . No 1
Kutoka 10-20 kph Gea . No 2
Kutoka 20-30 kph Gea. No 3
Kutoka 30-40 kph Gea. No 4
Kutoka 40-50 kph Gea. No 5
Kutoka 50-120 kph Mwendo utaendelea kuzaliswa na gia No 1 & 2

Jinsi ya kupangua gea kubwa kwenda gia ndogo
K**a gari lilikuwa linatembea kiasi cha mwendo upatao 60kph itakubidi upunguze mwendo hadi 50kph au 40kph ndipo uingize gia nambari nne
Endapo inatembea mwendo kiasi 40 kph itakubidi upunguze mwendo hadi kufikia 30kph ndipo uingize gia nambari tatu
K**a gari ilikuwa inatembea kiasi cha mwendo upatao 30kph itakubidi upunguze mwendo hadi kufikia 20kph ndipo uingize gea nambari mbili
DASH BOARD

Dash board ni chombo ambacho kinamjulisha na kumwezesha dereva kugundua hitilafu zinazoweza kujitokeza anapoendesha gari barabarani kwa mfano
· Kusoma speedmeter – hiki ni chombo ambacho hupima kasi au mwendo wa gari
· odometer – hiki ni kipimo ambacho hupima au kuhesabu au kurekodi ni mwendo au umbali gani gari limetembea
· Fuel gauge – ni kipimo cha kuonyesha ni kiasi gani cha mafuta aidha Petrol au diesel iliyoko kwenye tank la gari
· Oil gauge – ni kipimo chenye kufanya kazi ya kuonyesha ni kiasi gani cha oil kimebakia kwenye injini
· Water temperature gauge ni kipimo ambacho kinaonyesha joto la injini limepanda kiasi gani na pia kuonyesha maji yamepata moto kiasi ghani kwenye radiator
· Alternator gauge au alternator charge hiki ni chombo cha kuonyesha kuwa kifua umeme katika gari hakifanyi kazi kwa msingi huo maana yake ni kuwa haichaji na hivyo maana yake ni kuwa umeme haufuliwi
· Right indicator – ni taa maalumu yenye mlio Fulani kuashiria kuwa unakusudia kukata kwenda upande wa kulia
· Left indicator – ni taa maalumu yenye mlio Fulani kuashiria kuwa unakusudia kukata kwenda kushoto
Dash Board k**a inavyoonekana katika mchoro chini.

Katika Dash Board kunakuwa na maswala kadhaa yanayoweza kusoma mambo kadhaa yafuatayo
0 2 6 8 6 4 2
Water temp
Brake Light
Alternator
Fuel gauge
Right
Left indicator

Fuel

UTUNZAJI WA GARI
Katika utunzaji wa gari kwa ujumla tunazungumzia ukaguzi wa gari.Ukitaka gari lako liwe katika hali nzuri kila ulitumiapo/kuwa na uhakika wa usalama wako na wa gari lako liwapo barabarani, ni muhimu sana kulikagua hari kila siku asubuhi kabala ya kuliendesha na pia kuwa na utaratibu wa kulifanyia service kila linapotembea kilomita kadhaa.
Ukaguzi wa gari
1. Kitu cha kwanza kabisa ni kulikagua gari lako kwa nje, utafanya ukagfuzi wa matairi kwa kuangalia
· Upepo na nati k**a zimelegea au la
· Kashata za Matairi k**a hazijaisha yaani ziko kipara
Kisha utafungua Bonet na hapa utaangalia
· Maji kwenye rejeta (radiator) k**a yapo
· Oil kwenye injini kwa kutumia deep stick
- Hakikisha unapopima oil gari liko katika tambarare ili uweze kupata level halali ya oil
- Oil inayotumika kwenye injini kwa kawaida ni nambari 40
- Deef oil nambari 140
- Gear box ni oil nambari 90
· Mafuta ya Brake (Brake fluid) na clutch
· Maji ya betrii, yaani unafungua betrii na kuangalia k**a
- Maji yamepungua unaongeza maji baridi Distrilled water
- K**a ni jipya umemwaga maji yote na kuweka Acid maarufu k**a maji makali HCI
- Maji yakiisha ndani ya betrii , batrii itakufa baada ya hapo
- Unafunga tena bonet.
2. Sasa unaingia ndani ya gari na unaaangalia
· Kaa kwenye kiti chako na hakikisha kimekaa sawasawa
· Kagua pedle zote k**a zinafanya kazi sawasawa yaani hapa tunazungumzia
- Brake k**a iko sawa na inafanya kazi
- Clutch k**a iko sawa na inafanya kazi
- Acceletator k**a iko sawa na inafanya kazi.
· Kagua dashboard k**a taa zote za vitu vyote zinafanya kazi vema yaani
- Water temperature gauge
- Alitanatory charge
- Oil gauge
- Fuel gauge
- Mail gauge .n.k.
· Waipa k**a zinafanya kazi vema
· Hand brake k**a inafanya kazi vema
· Usukani k**a umekaa vema
· Mkanda
· Taa zite k**a zinafanya kazi Hususani indicator
· Wema side mirror vema kukuwezesha kuona chochote kwa nyuma au pembeni
· Kioo cha kuangalia magari nyuma pia kiwekwe kukuwezesha kuona
Ukimaliza yote hayo sasa uko huru au salama kuendesha gari lako.

[08/09/21]   UNAPOKARIBIA NA UNAPOPITA KATIKA MZUNGUKO.
Kabla hujafika kwenye mzunguko hakikisha unapunguza mwendo wako, amua ni njia ipi unahitaji kupitia, angalia kioo chako, na ingia kwenye njia sahihi (angalia ushauri hapo chini) ukifi ka kwenye mzunguko yaruhusu magari ambayo tayari yako kwenye mzunguko yapite. Angalia kwa makini waendesha baiskeli na pikipiki, ambao inaweza kuwa vigumu kuwaona iwapo kuna magari mengi. Kumbuka kuwa pia kunaweza kuwa na watembea kwa miguu wanaovuka barabara - kutoka kushoto na pia kulia.
WAKATI UNAPINDA KUSHOTO:
1. Ashiria kupinda kushoto
2. Pita kwenye njia ya kushoto
3. Yaruhusu magari yaliyo kwenye mzunguko
4. Pita kushoto kwenye mzunguko
5. Endelea sehemu ya kutokea, ukiwa bado umeashiria kushoto.
WAKATI UNAKWENDA MBELE MOJA KWA MOJA:
1. Pita kwenye njia ya kushoto (isipokuwa k**a njia ya kushoto imeonyeshwa kwa ajili ya magari yanayopinda kushoto tu) usionyeshe ishara
2. Ruhusu magari yaliyo kwenye mzunguko yapite
3. Ungana na magari, yaliyo kwenye njia ya kushoto
4. Onyesha ishara ya kwenda kushoto baada ya kupita njia ya kutokea kabla ya ile unayohitaji
5. Endelea kwenye njia yako ya kutokea, ukiwa bado unaonyesha ishara ya kwenda kushoto.
WAKATI WA KUPINDA KULIA AU KUPINDA KWENYE MZUNGUKO:
1. Onyesha ishara ya kwenda kulia
2. Pita kwenye njia ya kulia
3. Yaruhusu magari yaliyo kwenye mzunguko
4. Jiunge na msururu, pita kulia
5. Endelea kuashiria kwenda kulia hadi upite barabara ya kwanza ya kutokea kabla ya ile unayohitaji, kisha onyesha ishara ya kwenda kushoto
6. Endelea kwenda kushoto kwako. KAMWE usisimame au kuegesha gari kwenye mzunguko. Wakati uko kwenye mzunguko usilipite gari refu – linaweza kukugonga kwenye kizingwa.

23/07/2021

Zingatia haya kabla hujaamua kumiliki gari, au k**a una gari basi endelea kuyazingatia yafuatayo ili pesa uliyotumia kuagizia gari yako isipungue kwa kasi.

1. Fanya Service/Matengenezo madogo na makubwa ndani ya mda. Matengenezo madogo namaanisha kubadiri oil ya injini na gia box ndani ya mda, kusafisha chekeche la hewa na ukaguzi wa mfumo wa breki. Matengenezo makubwa hujumuisha hayo madogo na vitu k**a kubadiri shock ups, bearings, joints, bush, au kitu chochote kinachohitaji mabadiriko kwenye gari lako. Ukiweza kufanya hivi, gari yako itabaki kwenye ubora wake siku zote na itakuepusha na madhara makubwa zaidi yanayoweza kukugharimu fedha na hata uhai kwa kuchelewa kushughulikia matatizo haya ndani ya mda.

2. Kagua gari yako kila asubuhi kabla ya kuanza safari. Ukaguzi unaosemwa hapa ni wa vitu k**a kiwango cha oil ya injini na gia box, maji ya katika rejeta, upepo na nati za matairi na taa zote za break na kubwa. Iwapo oil imepungua kutokana na kuvuja kwa baada ya gari kujigonga kwenye sample katika mashimo tunayopita, utapata nafasi ya kuchukua hatua stahiki, k**a nati zililegea utapata wasaa wa kuzikaza, iwapo taa zitakua hazifanyi kazi utaweza kuzibadirisha na hivyo kukuwezesha kufanya mawasiliano mazuri na watumiaji wengine wa barabara hivyo kukuepusha na ajali n.k

3. Usipite kwa mwendo kasi njia yenye mashimo. Kuna ka utamaduni kanajengeka sana kwa baadhi ya sisi watanzania tunaotumia vyombo vya moto kutaka kukimbia hata sehem ambazo ni za kwenda mwendo wa kawaida tu, mwingine anapita njia ya vumbi kwa mwendo mkali bila kujua analegeza bodi pamoja na vifaa vingine katika gari yake kwa sababu ya mtikisiko mkubwa unaokuwepo garini humo.

4. Usafi wa gari yako ni muhim. Mwonekano nadhifu wa ndani na nje ya chombo chako hufanya thamani yake isishuke kwa kasi tofauti na mtu ambae hasafishi gari yake mara kwa mara, lakini pia kwa waopita njia zenye tope, unapochelewa kusafisha matope chini ya gari yanayonasa kwenye mabati, kuna uwezekano mkubwa gari yako ikashika kutu na hivyo kuharibu maeneo husika. Lakini pia ni muhimu ukajitahidi kutoshusha vioo mara kwa mara ili vumbi lisiingie ndani na kuchafua roof, dashboard, pamoja na njia za AC, iwapo matundu ya AC yatachafuliwa kuna uwezekano mkubwa sana gari yako ikashushwa thamani wakati unahitaji kuuza.

5. Egesha gari sehem zenye usalama na nafasi ya kutosha. Kwa wakazi wa Mwanza, parking imekua ni changamoto na mara nyingi tunalazimika kuegesha magari kwa kusogeleana sana, madhara yake ni kwamba unapoegesha gari kwenye kona nyembamba au eneo ambalo gari zinasogeleana sana uwezekano wa kukwanguliwa na madereva wengine ni mkubwa.

6. Weka mafuta kutoka vituo vya mafuta na uchukue risiti. Hii ni njia moja wapo ya kuikinga injini yako na wauzaji wa mafuta wa reja reja wasio waaminifu ambao hununua mafuta na kuyachanganya ili wajipatie faida zaidi na hivyo kuiweka gari yako katika hatari ya kuharibu injini.

7. Usizoee kumuachia gari mtu mwingine. Hii ni kwa sababu kila mtu ana utunzaji wake wa chombo, yawezekana kukawa kumetokea tatizo asije kukwambia kwa kuhofia kua utamchukulia k**a muharibifu, lakini pia iwapo mtu huyu atapata ajali k**a ni gari binafsi, kampuni za bima wanaweza kuamua kutokukulipa kwa kua sheria haimtambui mtu uliyemuazimisha gari, hua wanalipa katika kudumisha uhusiano mwema na wateja wao.

8. Jizoeze kutobeba watu au mzigo kubwa kupita uwezo wa gari. Kila gari imewekewa kiwango cha uzito ambao unapendekezwa kubeba, inapotokea mzigo ni mkubwa zaidi unadhuru mfupo wa shock up, balance inakua sio nzuri barabarani na pia inakulazim kutumia mafuta zaidi kwa kua gari inakua nzito.

9. Kanyaga mafuta taratibu huku ukiacha gari yako ichanganye yenyewe. Hii ni kwa wale wanaoamini mbio inamfikisha haraka aendako, mtu anakamua gari kwa mfano katika jiji la Mwanza ambalo lina changamoto ya foleni za hapa na pale akienda hatua chache mbele unamkuta kasimama wala hakuna alichowahi, bila kujua unakua unajiumiza kwenye matumizi ya mafuta, unapokanyaga mafuta na mshale wa RPM ikanyanyuka sana ndivyo ambavyo ulaji wa mafuta hufanyika kwa kasi pia.

10. Usipuuze jambo lolote lisilo la kawaida katika gari yako. Mfano, kelele za vuma chini k**a bush zilizoisha, shick ups, taa za onyo za kwenye dashbod

Videos (show all)

Unahisi huyu dereva alipatwa na nini.
Gia kukwama
Hii nayo inaitwa ajari.
Uzembe palipo na makutano

Location

Category

Telephone

Address

3067 Mtakuja Block No 163/302
Mwanza
+255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Other Schools in Mwanza (show all)
Cyberfitex Company LTD Cyberfitex Company LTD
Mwanza

Cyberfitex Institute of Technology Vision is to become the center of excellence in Provission on Soft and Technical IT skills inTanzania

Misungwi Secondary School Misungwi Secondary School
Mbela,Misungwi
Mwanza

Ni shule ya kutwa kwa wanafunzi wa O-level na bweni kwa wanafunzi wa A-level (wasichana tu). Shule inapatikana wilayani Misungwi umbali wa 40km kutoka jiji la Mwanza.

Ibungilo secondary school Ibungilo secondary school
Mwanza

School M.... EDUCATION FOR LIBERATION

Isamilo International School Mwanza Isamilo International School Mwanza
Isamilo, Mwanza
Mwanza, 42

The official page for Isamilo International School Mwanza- the best way to interact with fellow students, teachers and alumni and also keep up with the major goings-on at the school.

Huruma Special Unit Huruma Special Unit
P O BOX 5021
Mwanza, 255

SCHOOL FOR CHILDREN WITH DISABILITIES

FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla
Bugarika
Mwanza

education for the future.

NU Creature MUSIC School NU Creature MUSIC School
Malimbe
Mwanza

We provide music education to the world so that you can reach the world with music too

Groove Dj Academy Groove Dj Academy
Nyegezi
Mwanza, KIJIWENI

Training professional dj scratch and mixing skills

Sales,mbeya Sales,mbeya
0765777233
Mwanza, +255