Rayrom Academy, Mwanza

Rayrom Academy, Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rayrom Academy, Mwanza, School, Mwanza.

RAYROM ACADEMY, Vinara wa malezi! Tulikua live trh 7/05/2023. Na Jumapili ya leo trh 14/05/2023. Hapa METRO FM 99.3. mda...
14/05/2023

RAYROM ACADEMY, Vinara wa malezi! Tulikua live trh 7/05/2023. Na Jumapili ya leo trh 14/05/2023. Hapa METRO FM 99.3. mda kuanzia saa 12 jioni hadi saa 1 kamili. MLETE MWANAO KWA MALEZI BORA. HAPA RAYROM ACADEMY.

WALETE WALIOFELI, watimize ndoto zao kwa kuwatengenezea ufauru mzuri.

Nichukue nafasi hii kuwakaribisha wote, kwenye shule yetu ya RAYROM ACADEMY. shule inapatikana Tanzania,  Jijini Mwanza,...
14/05/2023

Nichukue nafasi hii kuwakaribisha wote, kwenye shule yetu ya RAYROM ACADEMY. shule inapatikana Tanzania, Jijini Mwanza, mtaa wa nyakato, National ( karibu na kotazi za line police). Tunatoa Elimu zifuatazo.
1. Baby class -pre primary 2. Tunapokea wanafunzi kuanzia mwaka mmoja na nusu na kuendelea.
2. Class 1 na kuendelea.
3. Wale wanaotaka kusoma QT, PC Form 2, 4 &6. Kwa mwaka mmoja. Kwa gharama nafuu sana.

Tuna waalimu na walezi wabobezi, na bora, pia mazingira rafiki kwa kujifunzia na kufundishia.

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rayrom Academy, Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category