Chawakita SAUT Mwanza

Chawakita SAUT Mwanza CHAWAKITA SAUT MWANZA ni chama cha Wanafunzi wa kiswahili Tanzania, tawi la Mwanza katika chuo kikuu

Ziara ya wanachama wa CHAWAKITA SAUT MWANZA katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tarehe 14 februari 2021.  Kiswahili che...
14/02/2021

Ziara ya wanachama wa CHAWAKITA SAUT MWANZA katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tarehe 14 februari 2021.
Kiswahili chetu urithi wetu

Chama Cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu na kati Tanzania kinakualika wewe mdau wa Lugha ya Kiswahili kutalii mbuga y...
07/02/2021

Chama Cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu na kati Tanzania kinakualika wewe mdau wa Lugha ya Kiswahili kutalii mbuga ya wanyama -Serengeti kwa gharama ya hela ya kitanzania shilingi 50,000 tu.
Pia, fulana zenye kauli mbiu Kiswahili Chetu, Urithi Wetu Bei ni shilingi 12,000 tu

Kiswahili ni lugha tumbuizi kwa kuzizungumza na kuisikiliza, pia ni lugha yenye kuleta Amani na faraja ya moyo kwa kulet...
29/11/2020

Kiswahili ni lugha tumbuizi kwa kuzizungumza na kuisikiliza, pia ni lugha yenye kuleta Amani na faraja ya moyo kwa kuleta upatanishi.
Tuipende na kuiheshimu lugha ya Kiswahili kwani ndio kitambulisho moja wapo Cha utamaduni was Mtanzania na Mwafrika duniani.

Uzinduzi wa Tamthilia "Kumbukumbu za Ukoo" ilioandikwa na mwanachama wa CHAWAKITA SAUT_ MWANZA.   Nakala inapatika katik...
20/09/2020

Uzinduzi wa Tamthilia "Kumbukumbu za Ukoo" ilioandikwa na mwanachama wa CHAWAKITA SAUT_ MWANZA.
Nakala inapatika katika ndaki ya Mt.Agustino Tanzania behewa kuu MWANZA.
Jipatie nakala kwa hela ya kitanzania 8000/= tu.

08/08/2020

Lugha ya kiswahili ni lugha tamu na adhimu yenye tumbuizo kwa kusikiliza na kuzungumza.
Lugha ya kiswahili ndio inatuwezesha kuwasiliana na kuelewana miongoni mwetu, hivo tupende lugha yetu na kutumia kiswahili fasaha ambacho kila mtu ataelewa anasomapo kazi iloandikwa kwa kiswahili ama kusikiliza mazungumzo ya kiswahili popote pale.
Kauli mbiu:KISWAHILI CHETU, URITHI WETU

Mhe. Benjamin Mkapa akipita kuangalia shughuli zinazofanya wa CHAWAKITA SAUT MWANZA  katika nyanja ya kukua na kuenea kw...
08/07/2020

Mhe. Benjamin Mkapa akipita kuangalia shughuli zinazofanya wa CHAWAKITA SAUT MWANZA katika nyanja ya kukua na kuenea kwa Kiswahili

Address

P. O BOX 307 Mwanza
Mwanza

Telephone

+255784454975

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chawakita SAUT Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share