Huruma Owden Mwakiluma

Forest TFS Lake Zone,

Operating as usual

03/06/2020

Mithali 16:24- Maneno yapendezayo ni k**a sega la asali, ni matamu nafsini na afya mifupani.

Bwana Yesu Asifiwe Wapendwa.

24/11/2019

Mwambie Kijana Mwenzio leo ni siku ya kupiga kura. 24.11.2019

[02/21/17]   MOJA KATI YA VITU NINAVYOPENDA NI KUONA VIJANA WANAJITUMA KUFANYA KAZI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI.

[06/26/16]   KWA WALE MSIOIFAHAMU TANZANIA VIZURI SOMENI KWA MAKINI UTAJIRI WA TANZANIA HALAFU JIULIZE KWA NINI NI MOJA KATI YA NCHI MASIKINI PAMOJA NA KUWA NA MALI ZOTE HIZI..

1. Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika mashariki.

2. Tanzania Kwa miaka 38

3. Tanzania ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa k**a matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko k**a ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4. Tanzania ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi za Africa zimekikosa AMANI na UTULIVU kwa miaka yote 54 ya uhuru haijawahii kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5. Tanzania ina ukubwa ukubwa wa 945,000 km square yaani sawa na uchukuwe Denmark, France, United kingdom(uk), Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6. Tanzania ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 kilometers bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7. Tanzania ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, DRC) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8. Tanzania ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi. Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania.. Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza afrika) na ziwa Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani. Ziwa nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu afrika).

9. Tanzania ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto kagera, mto Ruvuma, mto rufiji, mto wami, mto malagarasi, mto mara, mto pangani, mto gombe, mto mweupe wa nile na ina mito midogo mingi k**a mto kilombero, mto mbemkuru n.k

10.Tanzania ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasiyo na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11. Tanzania ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya afrika kusini,ghama na mali na ipo top 20 duniani. Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa. migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine Nzega(tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine-(Mbeya), Tulawaka gold mine- (kagera), North mara gold mine-(mara). Iliyofungwa ni Kirondatal gold mine-(Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12. Tanzania ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga mgodi huo umeanzwa kuchimbwa tangu mwaku 1940 mpaka leo bado unachimbwa unamilikiwa na kampuni ya kutoka Uingereza.

13.Tanzania ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya Tanzanite duniani. Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na Tanzanite na almasi unauzwa hadi milioni 25 za kitanzania.

14. Tanzania ina madini ya chuma yanayopatikana mchuchuma, ludewa njombe, mgodi unamilikiwa na wachina mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15. Tanzania ina madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa kule kiwira Mbeya, Mchucuma na Liganga Njombe unamilikiwa na wachina pamoja na ngaka kule Mbinga, Ruvuma unamilikiwa na kampuni ya Tancoal ya Australia. hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2. makaa ya mawe ndiyo chanzo cha pili ya umeme wabei nafuu duniani baada ya maji.

16. Tanzania ina hifadhi ya madini ya uranium kule Dodoma(bahi) na mgodi ambao unamilikiwa na warusi pia madini haya yanapatikana pia Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba na Nachingwea.

17. Tanzania ni moja ya nchi tatu Africa pamoja Zimbabwe na madagascar kwa kuwa madini mengi ya graphite madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, mererani- manyara. Madini ya graphite ndiyo yanayotumika kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za gari na kwenye karamu ya risasi (pencil)

18. Tanzania ina madini ya nickel yanayopatikana kule kabanga kagera, milima ya uluguru, Morogoro, north mara, Ngasoma.., mwanza.

19. Tanzania ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda mengi duniani baada ya marekani na uturuki. Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote vyoo nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20. Tanzania ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndiyo utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Africa na wanne duniani, mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia. Madini ya nibioum ni magumu sana hutumika kutengeneza mabomba pamoja na
madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia, vioo vya computer na lenzi za camera.

21. Tanzania ni nchi ya kwanza Africa na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii duniani ya kwanza ikiwa Brazil. Nchi zilizokuwa kwenye tano
bora kwa utalii Afrika na Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22. Tanzania ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti na mbuga
iliyopakana na bahari., mbuga ya saadani na mlima mrefu kuliko yote Africa Kilimanjaro...

23. Nadhani kila mtanzania anajua juu ya sifa ya Tanzania kwenye suala ya kuwa na ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na urutibishaji wa mazao yote..

24. Tanzania ina gesi ya asili ya carbon dioxide(CO2) inayovunwa kule kyejo, Rungwe.., Mbeya na kampuni ya TOL, gesi ya asili ya cardon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini k**a soda, bia, na pia kutengenezea madawa, kwenye viwanda vya makaratasi na kutibia maji.

25.Tanzania ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha songo songo mkoa wa Lindi gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirisha Dar es salaam tangu mwaka 2004 na inayomilikiwa na kampuni ya songas ya uingereza..

26. Tanzania imegundua gesi ya asili yenye ujazo wa zaidi ya trioni 55.3 cubic meter iliyogundulika katika maeneo ya bahari ya Lindi na Mtwara. Pamoja na sifa zote hizi Lakini Tz ni nchi iliyokwenye kundi la nchi maskini duniani ambao asilimia kubwa ya raia wanaishi chini ya dola moja na hali ya huduma za kijamii zikiwa duni.

> Tatizo letu liko wapi? Ni nini kinatufanya tunaishi kwa kusikitisha hivi?
> Ni nani aliyesababisha umaskini huu wa kiwango cha juu kwa watanzania?
> Kwanini Tanzania ni moja ya mataifa maskini ulimwenguni??
> Kwanini Tanzania uchumi wake unakuwa kwa kasi ndogo sana kulinganisha na nchi zingine?

25/06/2016

Timeline Photos

[06/24/16]   Don't compare yourself with anyone in this world ... if you do so, you are insulting yourself.
*****************BUSINESS****************
To win big, you sometimes have to take big risks.

[05/26/16]   Unachofikiri kisibaki kichwani na kukinena k**a kuna fursa fanya ndo wakati hakuna muda wa kusubiri. Mwakiluma #StopDreamingStartDoing#

[01/30/16]   Unamiss nini kipindi cha iongozi wa Jakaya Mrisho Kikwete.

[09/24/15]   Mshukuru mungu ikiwa leo ni bora kuliko jana.
Usishindane kwa kuwa k**a yule jenga kesho yako iliyo #BORA kuliko jana.
#MAFANIKIO_HUJA_KWA_KUPENDA_UNACHOFANYA
frm* FidQ.

[09/20/15]   Ukipewa dhamana usiifanye mtaji wa kupata pesa na kujinufaisha kiuchumi. #WATETEEwanyonge. IpendeTANZANIA.

[09/20/15]   Tanzania yetu inahitaji mabadiliko na mabadiliko hayo yatapatikana kwa kuchagua kiongozi aliye mzarendo na nchi yake. #ZamYako2015 NAIPENDA TANZANIA. OCT, 25.

20/09/2015

Huruma Owden Mwakiluma's cover photo

20/09/2015

Huruma Owden Mwakiluma

[07/31/15]   NICE

Videos (show all)

Mithali 16:24- Maneno yapendezayo ni k**a sega la asali, ni matamu nafsini na afya mifupani.Bwana Yesu Asifiwe Wapendwa.

Location

Category

Telephone

Address


Mwanza
255
Other Education in Mwanza (show all)
Blessing Day Care Mwanza Blessing Day Care Mwanza
Mwanza, P O BOX 1565 MWANZA

We provide education to kids under five years

Misungwi English Medium Schools Misungwi English Medium Schools
2207 - MWANZA
Mwanza

This is a private English Medium School established and managed by JAHACA GROUP since 1991. It's located in Misungwi district- Mwanza city along The MWANZA-SHINYANGA main road which is just 45KM from the city centre.

Zinduka Club bwiru BOY'S Zinduka Club bwiru BOY'S
Bwiru
Mwanza, 217

facebook/zindukabwiru also:www.francisdngadaya.blogspot.com

Bwiru Schools Bwiru Schools
217
Mwanza

Hapa ndo tulipitokea wengi wetu,hebu tupeane changamoto zilizotupata wakati ule na zinazoendelea kutupata kwa sasa,tudumishe umoja wetu na tuiendeleze kauli mbiu yetu *mbele daima*

Mawaridi Centre Mawaridi Centre
Kilimahewa Bigbite
Mwanza, 979

mawaridi centre is an instution which deals with.education in the category as follows...kindergaten....tuition classes and english course.....

Darasa La Mzalendo Darasa La Mzalendo
Nyegezi, SAUT
Mwanza, +225

An initiative for children to learn science subjects through musics, games,movies and cards. friendship between Children, Education and School .

MwanzaOneTuition MwanzaOneTuition
Sabasaba,Ilemela
Mwanza

tuition for science subjects which are physics(0-level and A-Level),chemistry(0-level and A-Level),mathematics(0-level and A-Level) and biology(0-level)

Mwanza Social Youth Education Club Mwanza Social Youth Education Club
Mwanza

The main goal of this club is to educate all people in different academic field, welcome,share and evaluate people`s views about social issues.

Interectual publishers Interectual publishers
[email protected]
Mwanza, +255

insightful thinking, education and publications.

Costo  Africa International Training Institute Costo Africa International Training Institute
P.O Box 919
Mwanza

The Costo Africa Training Institute offers the following programs:- 1.Airline and Ticketing Management 2.Hotel Management and Tour Guide 3.QT Your Welcome

Cpa Review Classes-Mwanza Cpa Review Classes-Mwanza
P.O.BOX 1588
Mwanza, 255

Special CPA Review Classes,Problem Solving CPA Review,One to One Review Classes

Istiqaama Open School Istiqaama Open School
Nyakato
Mwanza

Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.