Wesley College

Wesley College Wesley College is the sustainable choice for higher education in Tanzania. Education for building up the community.

10/05/2026
Jiunge nasi katika mafunzo ya lugha ya kiingereza ambapo utafundishwa na wataalamu waliobobea katika lugha za kigeni je ...
03/05/2026

Jiunge nasi katika mafunzo ya lugha ya kiingereza ambapo utafundishwa na wataalamu waliobobea katika lugha za kigeni je unge penda kuwa mjuzi wa lugha ya kigeni wesley college ni chaguo lako.Mafunzo yetu ni ya gharama nafuu,nyote mna karibishwa.

Wesley College ina watakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya siku ya muungano.
26/04/2026

Wesley College ina watakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya siku ya muungano.

Je wewe ni muhitaji wa kutaka kujifunza lugha ya kiingereza au kifaransa basi wesley college ni mahala pekee . Kutana na...
25/04/2026

Je wewe ni muhitaji wa kutaka kujifunza lugha ya kiingereza au kifaransa basi wesley college ni mahala pekee . Kutana na wajuzi walio bobea katika lugha.Karibu ujifunze nasi kwa gharama nafuu. Nyote mna karibishwa.

Honoring the legacy of Mzee Abeid Amani Karume.His dedication to unity and development continues to inspire generations.
07/04/2026

Honoring the legacy of Mzee Abeid Amani Karume.His dedication to unity and development continues to inspire generations.

“Elimu yetu lazima iwatie wanafunzi moyo wa kujitolea kwa jamii kwa ujumla, na kuwasaidia wakubali maadili yanayofaa kwa...
14/10/2025

“Elimu yetu lazima iwatie wanafunzi moyo wa kujitolea kwa jamii kwa ujumla, na kuwasaidia wakubali maadili yanayofaa kwa aina ya mustakabali wetu, si yale ya enzi ya ukoloni.”
— Julius K. Nyerere, 1967: Elimu ya Kujitegemea
Chuo cha Wesley kinaungana na Watanzania wote na dunia kwa ujumla kuadhimisha Siku ya Nyerere.
Tukithamini moja ya kauli bora zaidi za Mwalimu Nyerere, Chuo cha Wesley ni kielelezo halisi cha falsafa yake. Kimejikita katika kutoa elimu inayojenga jamii bora na kukuza viongozi wanaohudumia kwa uadilifu na moyo wa kujituma.
Karibu Wesley College, Mahali pa Mabadiliko na Maendeleo.

Address

161 Uhuru Street
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 16:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 16:30

Telephone

+255763518311

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wesley College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Wesley College:

Shortcuts

Share