Irene Mussa

Irene Mussa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Irene Mussa, Tutor/Teacher, irenemussa83@gmail. com, Mwanza.

🍬🍬 pesa isikuchagulie watu🍬🍬     🍬 Maono na utu ndo viwe kipimo Cha Nan anakua karibu na ww mpaka wapi🍬🍬 be smart methal...
22/01/2024

🍬🍬 pesa isikuchagulie watu🍬🍬
🍬 Maono na utu ndo viwe kipimo Cha Nan anakua karibu na ww mpaka wapi🍬🍬 be smart methali anasema kujikusanyia watu wengi ni Kwa uangamivu wako mwenyewe 🍬

Maisha hayaachi kutufundisha ila jitahidi ubebe mafunzo mema yatakayokupa hatua kusonga mbele 🥰🥰
19/01/2024

Maisha hayaachi kutufundisha ila jitahidi ubebe mafunzo mema yatakayokupa hatua kusonga mbele 🥰🥰

Wamesema hutazaa tena hiyo ni aibu yako,,🪴 Waache waone Kwa macho Yao Bwana atakapomleta kicheko wako,,🪴 Wanasema umeshi...
15/12/2023

Wamesema hutazaa tena hiyo ni aibu yako,,
🪴 Waache waone Kwa macho Yao Bwana atakapomleta kicheko wako,,
🪴 Wanasema umeshindwa maisha,,
Waache na wambie Bwana ndio mchungaji wako katika yeye hupungukiwi kitu,,
🪴 Wakisema lolote la kukuvunja moyo,,
Waambie Bwana ameahidi hatakupungukia mpaka ukamilifu wa dahari🥰
🪴 Huyo ndio yule pekee hawawezi kutrace njia zake daima🥰🥰🙏

Waweza kuana Mali,,watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali maishani ukahisi hakuna kinachopungua kwako lakini Kuna mahali p...
04/12/2023

Waweza kuana Mali,,watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali maishani ukahisi hakuna kinachopungua kwako lakini Kuna mahali panaitwa moyoni dhoruba zikipita na huna Mungu Bali watu ambao hawawezi kuufunua moyo wako,, utagundua hakuna thamani nyingine zaidi ya wokovu tu maishani Mungu akupe neema ya kuuishi wokovu

🌷🌷 hakuna amani ya ajabu k**a amani ya kuishi unavotamani kua hata k**a watu hawakuelewi ishi wewe🥰Be goodDo good,, jipe...
11/11/2023

🌷🌷 hakuna amani ya ajabu k**a amani ya kuishi unavotamani kua hata k**a watu hawakuelewi ishi wewe🥰
Be good
Do good,, jipe kipaumbele wewe kwanza Kisha uende Kwao☝️

Kinachokufanya uwe wa tofautii sio rangi Yako urefu,, urembo ama uhodari wako,, tofautii kuu unayopaswa kuitafuta kati Y...
09/07/2023

Kinachokufanya uwe wa tofautii sio rangi Yako urefu,, urembo ama uhodari wako,, tofautii kuu unayopaswa kuitafuta kati Yako na wengine,,ni kutofautishwa kwa kuyalinda ama kuyapalilia maono Yako tafuta sana kujua wewe ni Nan unafanya nn,, unaenda wapi na lini uanze kwenda ama ufike ndani ya muda Gani,, Nan unahusiana nae ni kwa lengo Gani na anaanzia wapi kuhusiana na ww na wapi anaishia (mipaka)☀️ biblia imesema pasipo maono mtu amekufa☀️☀️ huwezi kua zaidi ya inavoona huwezi kumiliki pesa nyumba magari zaidi ya mtazamo wako ulivo take a time and change u'r mindset,,, uwe na jumapiliii njema,, mmebarikiwa 🙏🙌

Kinachoamua uchaji wa yusuph ni ile hofu ya mungu aliyonayo  na kujua ukuu wa kile mungu ameweka ndani yake,, Hilo tu li...
02/07/2023

Kinachoamua uchaji wa yusuph ni ile hofu ya mungu aliyonayo na kujua ukuu wa kile mungu ameweka ndani yake,, Hilo tu lilitosha kumfanya yusuph aushinde mtego wa Mrs potifa hata k**a kwa Hali ya kawaidaa ni k**a fursa kwake but man knows his future,, wakati wewe unamuona mrs potifa k**a shavu,, ela flan ya msaada,, umepata connection,, sasahv umekua na umiliki sawa na potifa unapunguza usumbufu wa boss(potifa) maana uko k**a yeye, yusuph anajua uzito wa alichokibeba sio kummiliki mrs potifa na nyuma yake 1 ila kukaa juu ya misri akainamiwa na potifa mpaka babaaake potifa k**a alikuepo,,, MWANZO,,37*5,, mwanzo,,39,, mwanzo,40,, nazungumza kuhusu nguvu ya maono,, tumeanza Leo ni utangulizi tusafiri wote pamoja,, umebarikiwa 🙏🙏

30/06/2023

Ni sku mpya na baraka za mungu ni mpya kwenye maisha Yako kila Leo uwe na siku iliyobarikiwa

Address

Irenemussa83@gmail. Com
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irene Mussa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category