Imaja Open School

Imaja Open School RE: IAE/OS/0144 Imaja Open School is an Institute of Adult Education. Tunafundisha na kuendeleza elimu ya sekondari katika ngazi zote.

Pia, kwa wasiojua kusoma na kuandika.

Q: Natamani Kujua Mnaoffer kozi zipi...A: Tunatoa Masomo ya sekondari fomu I-VI..krb sana.                              ...
20/02/2021

Q: Natamani Kujua Mnaoffer kozi zipi...
A: Tunatoa Masomo ya sekondari fomu I-VI..krb sana.

Unaweza kujiendeleza kimasomo huku unaendelea na shughuli zako za kukuingizia kupato.Tunaweza kukupangia muda muafaka am...
16/02/2021

Unaweza kujiendeleza kimasomo huku unaendelea na shughuli zako za kukuingizia kupato.
Tunaweza kukupangia muda muafaka ambao utaendana na ratiba zako.
Usikate tama, kujiendeleza kielimu, inawezekana.

Tunakutakia wewe na familia yako Valentine njema...
14/02/2021

Tunakutakia wewe na familia yako Valentine njema...

Happy Valentine'sTunakutakia wewe na familia yako Valentine njema...                                                    ...
14/02/2021

Happy Valentine's
Tunakutakia wewe na familia yako Valentine njema...

Masomo yamekwisha anza, wahi sasa ujiandikishe, uweze kujiendeleza kimasomo!                                            ...
12/02/2021

Masomo yamekwisha anza, wahi sasa ujiandikishe, uweze kujiendeleza kimasomo!

Maelezo:Kituo chetu kinapatikana Mtaa Wa Rufiji Mjini Mwanza.Njoo ujiendeleze kimasomo, haujachelewa!                   ...
11/02/2021

Maelezo:Kituo chetu kinapatikana Mtaa Wa Rufiji Mjini Mwanza.
Njoo ujiendeleze kimasomo, haujachelewa!

Shule inapatikana Mtaa wa Rufiji, mjini Mwanza.
06/02/2021

Shule inapatikana Mtaa wa Rufiji, mjini Mwanza.

Leo tunaadhimisha siku ya kansa duniani...Je unamjua mtu yeyote mwenye kansa?Ni wajibu wetu wote k**a wanajamii kushirik...
04/02/2021

Leo tunaadhimisha siku ya kansa duniani...
Je unamjua mtu yeyote mwenye kansa?
Ni wajibu wetu wote k**a wanajamii kushirikiana kwenye kuwasadiai wenzetu!

**us

Masomo Yanayofundishwa Shuleni KwetuTunamasomo makuu matano ambayo tunafundisha shuleni kwetu.1. Pre-secondary Course (M...
02/02/2021

Masomo Yanayofundishwa Shuleni Kwetu
Tunamasomo makuu matano ambayo tunafundisha shuleni kwetu.
1. Pre-secondary Course (Masomo ya maandalizi ya secondary): Kwa wale ambao hawana uweo wa kusoma na kuandika au kuanza masomo ya sekondari moja kwa moja
2. Qualifying test (QT): Wale waliomaliza darasa la saba tunawafundisha ili waweze kufanya mtihani wa kidato cha pili (QT) kwa mwaka mmoja.
3. Form four (freshers): Ambao hawajawahi kufanya mtihani wa kidato cha nne lakini wamemaliza na kufaulu mtihani wa QT tunafundisha masomo ya kidato cha tatu na cha nne ndani ya miezi kumi na na mbili (12).
4. Form four resisters (pre-form five); Wale ambao wamesha wahi kufanya mtihani wa kidato cha nne lakini hawakupata “credit” tatu (3) za kujiunga na kidato cha tano.
5. Form five na six (freshers na resisters): Wale ambao wamemaliza kidato cha nne na wana sifa kamili za kujiunga na kidato cha tano na cha sita.
Je wewe au ndugu, jamaa au rafiki zako ambao wanaweza hitaji kujiendeleza, karibu kuwashirikisha habari hizi.

Tunafundisha kidato cha kwanza hadi kidato cha 6 kwa miaka mitatu. Timiza malengo yako kimasomo kwa kujiendeleza kwanzia...
02/02/2021

Tunafundisha kidato cha kwanza hadi kidato cha 6 kwa miaka mitatu. Timiza malengo yako kimasomo kwa kujiendeleza kwanzia Form 1 mpaka Form 6.

Rajabu PuttaNawaona katika ubora wenu hongereni sana, nyie ni wapambanaji                                               ...
29/01/2021

Rajabu Putta
Nawaona katika ubora wenu hongereni sana, nyie ni wapambanaji

Address

Rufiji Street
Mwanza
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 06:00

Telephone

+255767364827

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imaja Open School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category