08/08/2026
HAPPY NANENANE DAY!
Tunapoadhimisha Siku ya Wakulima – Nanenane, tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wakulima katika kujenga uchumi, kuimarisha usalama wa chakula na kuendeleza taifa letu.
Kilimo si chanzo cha chakula pekee, bali ni fursa, ajira na msingi wa maendeleo endelevu. Tuwatie moyo wakulima wetu, tuunge mkono bidhaa za kilimo na tuendelee kuwekeza katika kilimo cha kisasa.
“Tambua Soko, Ongeza Tija, Kutekeleza Dira 2050.”
SAUT Students Public Relations Association (SSPRA) inawatakia wakulima wote na Watanzania kwa ujumla Nanenane Njema!
_____________________________________
Loth Makuza 🇹🇿 Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania Pepsi Tanzania Ikulu Tanzania IKUMBO Wizara ya Kilimo Mwita Koryo Mbaraka Matitu Faith Mauki Salvatory Silasy Sautso._habari SAUT ADMISSION UNIT Godson She is the finest Empire Machiavelli Special88 Ayubu Efremu SAUT MAIN CAMPUS LEONARD MYALLA Marketing and Public Relation Association UDPRASA Public Relations Society of Tz Public Relations Society of Kenya Together we step Steven Paul
frank katabi APRA