25/01/2022
Mhula wa masomo 2022 umeanza , tunawakaribisha wanafunzi wote wanaohitaji kurudia mtihani wa form four( RESEATERS) Na wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza (QT) Karibuni sana.
Pia tunatoa huduma zifuatazo
# Pre form five (PCB,PCM, CBG, PGM, EGM, HKL, HGK, HGL, HGE)
# COMPUTER COURSE
# ENGLISH COURSE
GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA WOTE MNAKARIBISHWA