cuhasso_official

cuhasso_official Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from cuhasso_official, College & University, Mwanza.

Kampeni za uchaguzi zimesitishwa kuanzia tarehe 5 hadi 7 Juni 2026; zitarejea tarehe 8 Juni, Mdahalo wa Urais utakuwa ta...
04/06/2026

Kampeni za uchaguzi zimesitishwa kuanzia tarehe 5 hadi 7 Juni 2026; zitarejea tarehe 8 Juni, Mdahalo wa Urais utakuwa tarehe 11 Juni, Siku ya Uchaguzi ni tarehe 12 Juni, na Uapisho utafanyika tarehe 16 Juni 2026.

Utiifu na uzingatiaji wa miongozo hii ni jambo linalotarajiwa kwa wagombea wote na timu zao za kampeni. 📌

04/06/2026

Msikilize mgombea Urais, Victor Kabeya, akielezea kwa ufupi mipango na mikakati thabiti ambayo Team Tiger imeandaa kwa ajili ya kuwatumikia wanafunzi wote wa CUHAS

Je, unafahamu Team Lion wamekuandalia nini kwa mwaka wa masomo 2026/2027? Hivi hapa ni vipaumbele vyao vikuu sita:📜 Elim...
04/06/2026

Je, unafahamu Team Lion wamekuandalia nini kwa mwaka wa masomo 2026/2027? Hivi hapa ni vipaumbele vyao vikuu sita:

📜 Elimu ya Sheria: Kupitia CUHAS Law Week na Student Baraza.
🔄 Uwazi na Usikivu: Ripoti za mrejesho kila miezi mitatu na sanduku la maoni mtandaoni.
📰 Habari na Motisha: CUHASSO Magazine na tuzo za utendaji kwa viongozi.

Kutana na safu ya uongozi ya Team Tiger🐯, ikiongozwa na Victor Kabeya anayegombea Urais na Margreth Patrick anayegombea ...
03/06/2026

Kutana na safu ya uongozi ya Team Tiger🐯, ikiongozwa na Victor Kabeya anayegombea Urais na Margreth Patrick anayegombea nafasi ya Makamu wa Rais. Chini ya kaulimbiu na motto yao ya “Lead to Serve,” timu hii inaleta maono mapya ya kiutumishi na uongozi ndani ya CUHAS.

Wamejipanga kuongoza kwa unyenyekevu, kutumikia jumuia ya wanafunzi kwa dhati, na kusimamia maslahi yenu katika kila hatua ya uongozi wao. Kaa tayari kusikiliza sera na vipaumbele vyao.

Kutana na safu ya uongozi ya Team Rhino🦏, ikiongozwa na Flumence Masondole anayegombea Urais na Rose Kaaya anayegombea n...
02/06/2026

Kutana na safu ya uongozi ya Team Rhino🦏, ikiongozwa na Flumence Masondole anayegombea Urais na Rose Kaaya anayegombea nafasi ya Makamu wa Rais. Chini ya kaulimbiu na slogan yao ya “Student’s Voice,” timu hii inaleta maono mapya yenye nguvu ya uwakilishi ndani ya CUHAS.

Wamejipanga kuwa sauti halisi ya wanafunzi, wakisimamia kwa dhati kutatua changamoto, kutetea maslahi yenu, na kuleta uongozi jumuishi katika kila hatua. Kaa tayari kusikiliza sera na vipaumbele vyao vyenye tija.

Kutana na safu ya uongozi ya Team Lion🦁 , ikiongozwa na Ian Evod Mmanda anayegombea Urais na Juliana Rutatina anayegombe...
02/06/2026

Kutana na safu ya uongozi ya Team Lion🦁 , ikiongozwa na Ian Evod Mmanda anayegombea Urais na Juliana Rutatina anayegombea nafasi ya Makamu wa Rais. Chini ya kaulimbiu ya “Redefining Leadership through Transparency and Accountability,” timu hii inaleta maono mapya ya uongozi ndani ya CUHAS.

Wamejipanga kusimamia uwazi, uwajibikaji, na maslahi ya wanafunzi katika kila hatua ya uongozi. Kaa tayari kusikiliza sera na vipaumbele vyao.

TAARIFA KWA WAGOMBEA📌
02/06/2026

TAARIFA KWA WAGOMBEA📌

01/06/2026

Mnamo tarehe 01 Juni 2026, Tume ya Uchaguzi ya CUHASSO imezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu. Uzinduzi huu umefungua milango kwa wagombea wa CUHASSRC na timu tatu za Urais kuwasilisha sera zao mbele ya jumuiya ya wanafunzi:

🦁 Team Lion | 🐯 Team Tiger | 🦏 Team Rhino

Safari njema kwa kila mgombea!🏛️

Mnamo tarehe 01 Juni 2026, Tume ya Uchaguzi ya CUHASSO imezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu. Uzinduzi huu umefungua ...
01/06/2026

Mnamo tarehe 01 Juni 2026, Tume ya Uchaguzi ya CUHASSO imezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu. Uzinduzi huu umefungua milango kwa wagombea wa CUHASSRC na timu tatu za Urais kuwasilisha sera zao mbele ya jumuiya ya wanafunzi: 🦁 Team Lion | 🐯 Team Tiger | 🦏 Team Rhino

Safari njema kwa kila mgombea!🏛️

Kufuatia usaili uliofanyika Mei 30–31, Kamati ya Uchaguzi imeweka wazi orodha rasmi ya wagombea waliofuzu nafasi za Rais...
01/06/2026

Kufuatia usaili uliofanyika Mei 30–31, Kamati ya Uchaguzi imeweka wazi orodha rasmi ya wagombea waliofuzu nafasi za Rais, Makamu wa Rais & CUHASSRC kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ya mwaka 26/27.

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cuhasso_official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share